Fukuza huyo!
Mwigulu anahujumu ziara ya Katibu Mkuu Kinana ili isipate coverage kwenye media zao kama uhuru , habari leo na Rai , mwisho wa siku atawasema kuwa haikuwahi na impact ........cc Nnape, RitzToo LOW.
Tafuteni Story nyingine ya kuweka Front page.
Hii haina mashiko.
Kwanini taarifa hii itolewe kwenye press kama kweli ilikuwa na nia njema? Kwanini mawasiliano yasingefanyika baina ya uongozi wa mkoa na makao makuu? nina shaka na ID ya mleta news.
Sasa hapo Zitto kaitesa vipi Hiyo Chadema? Tatizo mpango wa Shinyanga umebumbuluka sasa mna tafuta front page za kesho , Mwigulu alipanga Kumuua Kigaila Leo kumbe hajui kuwa hayupo Kigoma ndio maana alikuwa na breaking news hapa eti Kigaila amenusurika kifo leo Kigoma ......ndio yalikuwa maandalizi ya hali ya hatari hayo........
habari ya chadema.....iletwe na taswira hhhhhhhheeeee
hapa nadhani yataka ukanushe kuwa habari au taarifa ni fake au siyo fake...sasa nakuona doctor mzima unalalamika hata unacholalamikia sikioni.CCM hizi mbinu zenu haziwezi kushinda.......CC zitto piga chini....amepewa siku 14 ameshidwa kucheza nazo....mpigeni chini...maana mkimpiga chini umeipiga CCM chini na watalia sana...
Mh! Hali tete Nilishashauri muungwana akivukwa na nguo huchutama! Ila kama huoni soni basi tembeza kengele zako mbele za watoto.
Watoto wanaweza kuvuta kengele wakidhani ni vdude vya kuchezea aisee!