Zitto aitesa CHADEMA, Tamko la mkoa wa Kigome hii leo hili hapa. Usalama wa Slaa wajadiliwa

Status
Not open for further replies.
So kumbe Tuntemeke ana inside information za chadema family,maana katutonya mapema sana kuhusu hili.
 
Too LOW.
Tafuteni Story nyingine ya kuweka Front page.
Hii haina mashiko.
Mwigulu anahujumu ziara ya Katibu Mkuu Kinana ili isipate coverage kwenye media zao kama uhuru , habari leo na Rai , mwisho wa siku atawasema kuwa haikuwahi na impact ........cc Nnape, Ritz
 
Kwanini taarifa hii itolewe kwenye press kama kweli ilikuwa na nia njema? Kwanini mawasiliano yasingefanyika baina ya uongozi wa mkoa na makao makuu? nina shaka na ID ya mleta news.

Mleta uzi ni Mwigulu, a.k.a Taswira. Ndipo utakaposhangaa yale yote yanayoitwa Matamko yanaletwa na yeye humu. Hapo ndipo ujiulize, uhusiano wa Zitto na Mwigulu na CCM yake ukoje!
 
By all standards, CHADEMA hawakutumia akili katika kupanga ziara hii Kigoma especially kwa wakati huu.

Na kosa ni lile lile; Akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
Sasa hapo Zitto kaitesa vipi Hiyo Chadema? Tatizo mpango wa Shinyanga umebumbuluka sasa mna tafuta front page za kesho , Mwigulu alipanga Kumuua Kigaila Leo kumbe hajui kuwa hayupo Kigoma ndio maana alikuwa na breaking news hapa eti Kigaila amenusurika kifo leo Kigoma ......ndio yalikuwa maandalizi ya hali ya hatari hayo........

Msihangaike na mapandikizi ya mwigulu, sasahivi watu wameshagundua kila propaganda wanazotaka kuanzisha mda simrefu wataonekana kama mataahira tu, watahaha sana ila cdm ndo mwisho wa yote.
 
naanza kuamini moja ya kauli zinazo semekana kuwahi kutamkwa na hayati baba wa taifa jk nyerere.kuwa upinzani wa kweli bado haujapatikana.
na kama ukipatikana,lazima utatokea within the ruling regime of CCM.nje ya hapo nimagumashi tu.mfano ndo kama haya tunayo yaona sasa chadema.inawezekana misuguano na mivutano tuishuhudiyo sasa kati ya kundi la EL,BM,SS nk. ni ktk kuelekea kutimia kwa unabii huo coming 2015.mtazamo wangu.
 
Mambo ya Chadema CCM mnayakomalia kama yenu! Fanyeni yenu waacheni chadema wafanye yao. Mipango mliyoweka na Zitto imembumbuluka sasa mnakazana tu kuweka mamluki kutoa matamko feki!? Tumewastukia, hadanganyiki mtu hapa! Tekelezeni ilani... baasi.
 
CCM hizi mbinu zenu haziwezi kushinda.......CC zitto piga chini....amepewa siku 14 ameshidwa kucheza nazo....mpigeni chini...maana mkimpiga chini umeipiga CCM chini na watalia sana...
 
vijana heshimuni mamalaka wakuu,zzk amesimamishwa uongozi,wenyeuwezo wa kumvua uongozi ni baraza kuu la chama ambalo bado aliyaketi sasa kiwewe hicho chenu ma ccm kinatoka wapi?
 
CCM hizi mbinu zenu haziwezi kushinda.......CC zitto piga chini....amepewa siku 14 ameshidwa kucheza nazo....mpigeni chini...maana mkimpiga chini umeipiga CCM chini na watalia sana...
hapa nadhani yataka ukanushe kuwa habari au taarifa ni fake au siyo fake...sasa nakuona doctor mzima unalalamika hata unacholalamikia sikioni.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Zito alikuwa ameandaliwa na CCM kwa kipindi kirefu ili aje akiuuwe hivyo ni wakati muafaka wa CDM kusimama haraka dhidi ya hiki 'kirusi' kilicholelewa ndani ya CDM. Niliwahi kusema kuwa kirusi hiki kimekaa kimaslahi zaidi na huwa ni NDUMI LA KUWILI na sasa mmeona! chezea KIRUSI wewe?:frusty:
 
hahahaha, yaani haya matamko kila saaa, sasa na mimi natoa tamko kuwa ninataka nianze weekend jumatatu, na ninalaani mtu yoyote anayefanya kazi siku za week.
Nikiingia kitandani leo nato tamko.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom