Zitto aitesa CHADEMA, Tamko la mkoa wa Kigome hii leo hili hapa. Usalama wa Slaa wajadiliwa


Status
Not open for further replies.
Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Messages
1,198
Likes
12
Points
0
Age
28
Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2012
1,198 12 0
[FONT=&quot] CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [/FONT]

[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA[/FONT]
[FONT=&quot]PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO NA HII NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI[/FONT]

[FONT=&quot] [/FONT]

  1. [FONT=&quot]Kikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili na Kuboresha ujio wa ziara ya Katibu Mkuu (T) Dr. P. Slaa Mkoani Kigoma 5/12/2013[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Ambapo atatembelea majimbo yote 8 ya mkoa Kigoma kwa mikutano si chini ya miwili kwa kila jimbo na baadae mkutano wa mwisho, jioni Mkutano ufanyike makao Makuu ya Jimbo. Lengo likiwa kuangalia uhai wa chama.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Mambo makuu na muhimu yalizingatiwa[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Usalama kwa Kiongozi huyo kufutia sakata la Maamuzi ya kamati kuu dhidi ya Mhe.Zitto na mapokeo ya wanachama wetu.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Kutoa taarifa rasmi kwa majimbo na kupokea hali ilivyo au inavyoonekana katika maeneo yao.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]- [/FONT][FONT=&quot]Baada ya Tafakuri ya kina na ya Hekima na Busara pevu katika ujio huo iliazimiwa ifuatavyo[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]i. [/FONT][FONT=&quot]Mkoa uliomba Taifa lihairishe na kusogeza mbele tarehe ya ziara hiyo muhimu kwa mkoa wetu, ili Mkoa kama ngazi ya chini ya Kanda na Taifa uwezekwenda katika majimbo hayo na kuwaelimisha wanachama na wapenzi wetu juu ya kuheshimu na kuwa na nidhamu na maamuzi yatolewayo na ngazi ya juu yetu. Hata kama yanamaumivu ….katiba yetu ifuatwe katika kutatua tatizo – Maoni ya Wengi Mkoani na Viongozi wa Chama ni kuudhiwa na maamuzi ya k/kuu ambayo dhahiri yalilenga kumilika Zitto – Kisiasa.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]ii. [/FONT][FONT=&quot]Mkoa ulitishika na vitisho baada ya kupokea taarifa toka kwa baadhi ya viongozi wa majimbo ya mkoa kwa hali ya usalama si nzuri kwa ujio wa kiongozi wetu Dr. Slaa kufika Kigoma kwa kipindi hiki wakati wanachama na wapenzi wakitafakari na kwa kauli tofauti zisizolenga kuwepo usalama.[/FONT]

[FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]iii. [/FONT][FONT=&quot]Kwa hekima ya kikao kilijiridhisha kwa kupata maoni toka katika majimbo 6 kuwa hali ni mbaya kabisa wakishauri Katibu mkuu asogeze mbele ziara yake kupisha mtafaruku huu na kwa usalama wa Chadema na viongozi wake Kitaifa.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]iv. [/FONT][FONT=&quot]Hivyo Mkoa kupitia kikao hicho kuwa ni bora kuzuia kuliko kutibu, tayari sintofahamu zimeonekana, viongozi na hasa wa majimbo kutofautiana mitazamo ni HATARI katika hali hiyo. Mkoa ulijiridhisha usalama hautakuwepo kwa ujumla hata kama baadhi ya majimbo yakisema wao wapo salama tu.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]v. [/FONT][FONT=&quot]HOFU/TAHADHARI - Endapo hali haitokuwa salama Mungu apishe mbali.[/FONT]
[FONT=&quot]Mkoa hautokwepa lawama na Uzembe wa makusudi kwani wajibu wa ngazi ya chini ni kutoa ushauri kwa ngazi ya juu. Hivyo mkoa unatoa ushauri kwa Makao Makuu (T) Chadema kusogeza mbele ziara hiyo hadi hali itulie na mkoa upite majimboni kujiridhisha na usalama kwa viongozi wake na hasa wa Taifa.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]LENGO KUU:[/FONT][FONT=&quot] NI KUHAKIKISHA CHADEMA TUNAPITA SALAMA KATIKA WAKATI HUU MGUMU KWETU – CHADEMA[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]Asanteni[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]ALHAJ. JAFARI KASISIKO MSAFIRI WAMALWA[/FONT]

[FONT=&quot]M/KITI MKOA 01/DEC.2013 KATIBU MKOA[/FONT]
[FONT=&quot]0756439200 0786448443[/FONT]
[FONT=&quot]0714439200 0756448442[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]CHADEMA MKOA KIGOMA[/FONT]
 
T

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
1,036
Likes
628
Points
280
Age
32
T

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2013
1,036 628 280
Fukuza huyo!
 
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
8,039
Likes
4,384
Points
280
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
8,039 4,384 280
hiyo ziara ina maana gan? Kataeni wanakigoma mpaka haya maamuzi ya kijuha waliyofikia akina chadema family yarekebishwe
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
74
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 74 145
Sasa hapo Zitto kaitesa vipi Hiyo Chadema? Tatizo mpango wa Shinyanga umebumbuluka sasa mna tafuta front page za kesho , Mwigulu alipanga Kumuua Kigaila Leo kumbe hajui kuwa hayupo Kigoma ndio maana alikuwa na breaking news hapa eti Kigaila amenusurika kifo leo Kigoma ......ndio yalikuwa maandalizi ya hali ya hatari hayo........
 
MSHINO

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Messages
861
Likes
24
Points
35
MSHINO

MSHINO

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2013
861 24 35
Hapa ni kuanzisha chama kipya, CHAMA CHA DEMOKRASIA HALISI-CHADEHA
 
S

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,670
Likes
1,245
Points
280
S

sem2708

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,670 1,245 280
Kwanini taarifa hii itolewe kwenye press kama kweli ilikuwa na nia njema? Kwanini mawasiliano yasingefanyika baina ya uongozi wa mkoa na makao makuu? nina shaka na ID ya mleta news.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
9,963
Likes
4,805
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
9,963 4,805 280
:amen:
 
MwanaCBE

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,774
Likes
539
Points
280
MwanaCBE

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,774 539 280
Upuuzi mwingine huu
 
L

limbongambonga

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Messages
219
Likes
0
Points
33
L

limbongambonga

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2013
219 0 33
Mh! Hali tete Nilishashauri muungwana akivukwa na nguo huchutama! Ila kama huoni soni basi tembeza kengele zako mbele za watoto.
 
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
8,039
Likes
4,384
Points
280
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
8,039 4,384 280
kweli mbowe na slaa tamaa ztawaua! Wameg'ang'ania had chama kimefia mikonon mwao. Shame on them. Hawa ni zero brain kwel
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
74
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 74 145
Tamko la Mwenyekiti wa Matawi ya Mkoa wa Shinyanga liko wapi? Mbona halijatoka mpaka muda huu? Si unalo hapo? Tuweke nalo hapa tulijadili.....
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
74
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 74 145
View attachment 124416 Enzi hizo ........leo unaratibu matamko ya CHADEMA ili kufanyika ziara ya Kinana na Nnape ....
 
aka2030

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Messages
1,703
Likes
1,388
Points
280
aka2030

aka2030

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2013
1,703 1,388 280
Mbowe kamtuma mwenzie akateguliwe mshipi na ule mkono hata kukimbia hajui
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
9,963
Likes
4,805
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
9,963 4,805 280
Khaa!! Kichekesho sana hasa pale unaposhtakiwa kwa makosa 11 ya "SIRI". Ona sasa chama kinakufa halafu maccm si ndiyo yatakomba kila kitu kwa sababu hakuna wa kuwapigia kelele. Yote kwa sababu ya ulevi tu na tamaa ya madaraka. Shame on you CDM - CC :frusty:
 
MSHINO

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Messages
861
Likes
24
Points
35
MSHINO

MSHINO

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2013
861 24 35
Kigoma demokraisa imelala MBUNGE wa kwanza kutoka CDM dr aman warid Kabour alitoka Kigoma. DCM walimfukuza kafulila kisa kupingana nao eti alikuwa ana muunga mkono zito.
Km si NCCR Mageuzi kutumiwa na CCM hasa james Mbatia, tungehamia NCCR sasa tufanyeje? CCM tulishavunja ndoa tangu miaka ya 95, sasa kurudi hatuwezi. Tunaombeni zito na wapenda maendeleo watuletee chama kingine.
 
TOWNSEND

TOWNSEND

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
2,602
Likes
51
Points
145
TOWNSEND

TOWNSEND

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
2,602 51 145
habari ya chadema.....iletwe na taswira hhhhhhhheeeee
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,323
Likes
2,131
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,323 2,131 280
Too LOW.
Tafuteni Story nyingine ya kuweka Front page.
Hii haina mashiko.
 
MSHINO

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Messages
861
Likes
24
Points
35
MSHINO

MSHINO

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2013
861 24 35
kigoma demokraisa imelala mbunge wa kwanza kutoka cdm dr aman warid kabour alitoka kigoma. Dcm walimfukuza kafulila kisa kupingana nao eti alikuwa ana muunga mkono zito.
Km si nccr mageuzi kutumiwa na ccm hasa james mbatia, tungehamia nccr sasa tufanyeje? Ccm tulishavunja ndoa tangu miaka ya 95, sasa kurudi hatuwezi. Tunaombeni zito na wapenda maendeleo watuletee chama kingine.

hiki tupa kule
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,252,124
Members 481,989
Posts 29,796,401