VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Sina imani na Zitto ata Kidogo
kwa wengi ambao hammjui huyu mbunge kijana mtakuwa mnashangaa sana why anakegeuka kegeuka kila mara ila kwa mliokuwepo chuo wakati akisoma na hasa 2001/2002, hamuwezi shangaa sana leo kubadilika badilika kwa kijana huyu, ni mtu anayependa sana sifa binafsi na wala si kwa ajili ya group zima, anapenda kuonekana yeye kama yeye na wala siyo wengine, asipokuwa makini naye pia ataanguka kama mzee wetu mrema na kijana wetu mbatia, bora hata mrema umri umekwenda na si kama anguko la mbatia, so asipokuwa makini hakika 2015 harudi sehemu yeyote ile, kazi kwake, kwani kwetu sisi ni kurekebisha pale palipo na mapungufu yanayooneka
Waswahili wamesema zamani "Akufukuzae hakwambii toka".
Gazeti linalomilikiwa na CHADEMA kila asubuhi linamnanga Zitto kulikoni?
Atahamia sisiemu tu, ameshashtukia mambo ya CHADEMA (kuwekwa chambo/chachu) ya kisiasa
Ana mpango wa kugombea urais 2015 hivyo si rajisi sana kwenda ccm na si rahisi pia kuendelea ndani ya cdm. Nadhani sasa hivi annangali wapi anaweza kukubalika kwa urahisi ili atorokee huko. NCCR linaweza kuwa chaguo litakalomfaa.Atahamia sisiemu tu, ameshashtukia mambo ya CHADEMA (kuwekwa chambo/chachu) ya kisiasa
You know there is more than what meets the eye......
Kama ni kweli Zitto kafanya hayo kwanini Gazeti lisiandike? kama ni kweli lakini?
Kama anasingiziwa ni kwanini? Na kwanini Chama kisifuatilie hayo?
Am sure ndani ya Chama wanajua ukweli upo wapi? Na sidhani kama Chama kinaweza kufungia macho uonevu kama kweli wanamuonea
My Advice these things should be sorted... and nobody needs to know.