Zitto aishukia BOT juu ya faini kwa Stanbic bank

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la ‪#‎Hatifungani‬ ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )

Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya ‪#‎TegetaEscrow‬. Watanzania wana haki ya kujua

CHANZO: Ukurasa wake wa FB

My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
 
CANZO: Ukurasa wake wa FB

Mkuu huyu ndiye tumaini lililobaki kwa siasa zinazozingatia maslahi ya taifa,
Kijana anayejikita kwenye nguvu ya hoja.
 
Kama sijakosea ile fine ni kwaajili ya uhusika wa stanbic kwenye overpricing ya interest rate kwenye bond ambayo iliibuliwa na SFO na siyo issue ya tegeta escrow
Kwahiyo apiganie wapigwe fine nyingine ya Tegeta Escrow Scandal
 
Zitto ni mnafiki mwingine mbona aendi mahakamani kutaka kuishinikiza serikari kufuata maazimio yaliyo pitishwa bunge
 
Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la ‪#‎Hatifungani‬ ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )

Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya ‪#‎TegetaEscrow‬. Watanzania wana haki ya kujua

CANZO: Ukurasa wake wa FB

My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
Vinasaba vya usaliti ndiyo viamharibia sana huyu jamaa; vinginevyo ni Jembe! Tunasubiri cheche zake bungeni kwa hamu na shauku kubwa sana.
 
Mkuu huyu ndiye tumaini lililobaki kwa siasa zinazozingatia maslahi ya taifa,
Kijana anayejikita kwenye nguvu ya hoja.
Mkuu katika watu wanaojenga hoja zenye kukumbatiwa na ushahidi Zuberi anawaacha mbali sana wanasiasa wengine
 
Kama sijakosea ile fine ni kwaajili ya uhusika wa stanbic kwenye overpricing ya interest rate kwenye bond ambayo iliibuliwa na SFO na siyo issue ya tegeta escrow
Kwahiyo apiganie wapigwe fine nyingine ya Tegeta Escrow Scandal
Ndio maana amewataka BOT wazungumzie ni hatua gani za kinidhamu zimechukuliwa juu yao......maana hii bank ya stanbic ni janga.
 
Dili hii ya kifisadi ilianzia serikalini na kuishirikisha Standard Bank katika udalali wa kuikopesha serikali.

Hapo ni hatua za uwajibikaji ndio zinazohitajika
 
Vinasaba vya usaliti ndiyo viamharibia sana huyu jamaa; vinginevyo ni Jembe! Tunasubiri cheche zake bungeni kwa hamu na shauku kubwa sana.
Neno usaliti hutumiwa na mahasimu wake tu; nakubaliana na maneno yako yote yanayoaanza baada ya neno "vinginevyo".
 
Mkuu japo huwa tunapishana kwenye hoja.....kwenye hili nakuunga mkono.
Hapo hujamuelewa Salary Slip kwa sababu huwa huna tabia ya kufikiri. Usanii anaousema ni huo wa Zitto. Yeye kama Mbunge na CEO wa chama (hata kama no kidogo sana) anao uwezo wa kuitisha press conference na kuyamwaga yaliyo moyoni huku akijibu maswali yao na habari hiyo ikapata mashiko.
Lakini kusema eti mambo mazito kama hayo anahoji kwenye ukurasa wake wa FB huo no utoto na usanii. Gavana wa BOT au maofisa wengine wanaweza kutoa majibu mazito kwa hoja waliyoiona (kama wameiona) ukurasa wa FB? Hilo jambo ni kubwa na muhimu alihoji kwa njia sahihi na sio Facebook, aache utoto! Atakuwa lini huyu? au no ushamba haujamtoka? Basi itakuwa shida, miaka yote hii toka aje Shule za mjini bado tuu!
 
Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la ‪#‎Hatifungani‬ ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )

Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya ‪#‎TegetaEscrow‬. Watanzania wana haki ya kujua

CHANZO: Ukurasa wake wa FB

My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
hiyo benki si wafilisiwe na kufukuzwa. benki gani imejaa wapiga dili kazi yao kuiba kwa mabilioni hela za umma? tatizo BOT jipu lishaiva zamani halijatumbuliwa.
 
Hapo hujamuelewa Salary Slip kwa sababu huwa huna tabia ya kufikiri. Usanii anaousema ni huo wa Zitto. Yeye kama Mbunge na CEO wa chama (hata kama no kidogo sana) anao uwezo wa kuitisha press conference na kuyamwaga yaliyo moyoni huku akijibu maswali yao na habari hiyo ikapata mashiko.
Lakini kusema eti mambo mazito kama hayo anahoji kwenye ukurasa wake wa FB huo no utoto na usanii. Gavana wa BOT au maofisa wengine wanaweza kutoa majibu mazito kwa hoja waliyoiona (kama wameiona) ukurasa wa FB? Hilo jambo ni kubwa na muhimu alihoji kwa njia sahihi na sio Facebook, aache utoto! Atakuwa lini huyu? au no ushamba haujamtoka? Basi itakuwa shida, miaka yote hii toka aje Shule za mjini bado tuu!
Kwa akili yako finyu na ya kinyumbu, unafikiri kuwa ili ujumbe uufikie umma basi ni lazima uitishe press conference...... Mitandao ya kijamii ina kazi ya kusambaza ujumbe kwa kasi zaidi na kwa gharama nafuu......

Unasahau hata magazeti siku hizi yanachapisha habari kuu kwa kunukuu yale yaandikwayo na wanasiasa katika mitandao ya kijamii........

Hoja kuu hapa sio zitto.....ni uadilifu wa bank ya stanbic....na adhabu stahiki wanayostahili kuipata kwa makosa ya kiufisadi......
 
Kumbe unaandika post nyingi sana humu ila uwezo wako katika kuelewa ni mdogo ila unasukumwa na ushabiki na ubishi sijui wa Kiha au vipi!
Hivi Maelezo ya Mbunge na sijui kiongozi wa chama anayotoa Facebook yanaweza kuchukuliwa kama official statement ya kuweza kuleta mjadala mtaani au huko BOT? Hapa hatuzungumzii upashanaji habari Bali kuhusu Zitto kutaka BOT kuchukua hatua za makosa ya Stanbic.
Ndio maana nasema huo anaofanya ni usanii au utoto, unless hicho kichama chenu Facebook nayo mumeshaipitisha kama sehemu official ya kutoa matamko.
Elewa kuwa Zitto hawezi kutoa tamko linalohusu masuala ya nchi binafsi bali atakuwa anazungumza kama kiongozi wa ACT au Mbunge. Mambo binafsi yanabaki akizungumzia labda ndoa take na Diva
 
Back
Top Bottom