Shida unaendeshwa na mihemko pasi na kujali uhalisia.....wapi katika kunukuu nimesema hili ni tamko,au ni official statement? Haya yalikuwa ni mawazo yake binafsi na ameyatuma kupitia wall yake.....sasa kwa uzwazwa wako unafikiri lolote atakalosema zitto basi litakuwa ni jambo la ACT...Kumbe unaandika post nyingi sana humu ila uwezo wako katika kuelewa ni mdogo ila unasukumwa na ushabiki na ubishi sijui wa Kiha au vipi!
Hivi Maelezo ya Mbunge na sijui kiongozi wa chama anayotoa Facebook yanaweza kuchukuliwa kama official statement ya kuweza kuleta mjadala mtaani au huko BOT? Hapa hatuzungumzii upashanaji habari Bali kuhusu Zitto kutaka BOT kuchukua hatua za makosa ya Stanbic.
Ndio maana nasema huo anaofanya ni usanii au utoto, unless hicho kichama chenu Facebook nayo mumeshaipitisha kama sehemu official ya kutoa matamko.
Elewa kuwa Zitto hawezi kutoa tamko linalohusu masuala ya nchi binafsi bali atakuwa anazungumza kama kiongozi wa ACT au Mbunge. Mambo binafsi yanabaki akizungumzia labda ndoa take na Diva
Ni kidogo kwa kigezo gani?? kwani kufikia hayua ya kutoa faini ina utaratibu wa kufanya hizo computation kwa maana si kwa utashi wa kisiasaBenki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la #Hatifungani ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya )
Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya Stanbic kuhusu kuhusika kwake na utakatishaji wa fedha za akaunti ya #TegetaEscrow. Watanzania wana haki ya kujua
CHANZO: Ukurasa wake wa FB
My take:
Tusubiri bunge lijalo tupate mengi zaidi kutoka kwa huyu nguli wa siasa za Issues Issues Issues......
Hoja ni nyepesi sana bunge limetoa maazimio ya kutaka mitambo ya IPTL ichukuliwe na serikari, kwa mtu anayepiga makelele kila siku serikari kutoeshimu maamuzi ya bunge tusisahau kitu muhimu parliament ina hold legal powers kushinda sehemu yoyote ya serikari.Kwani ile kesi waliyofungua CHADEMA ICC ilihusu nini? Hukumu haijatolewa bado?