Zitto aichokoza CHADEMA na kuwapa somo wanachama wake

Ni makosa makubwa kuonyesha wazi kuwa chama chao kimeibuka kwa lengo la mbadala wa CDM! Kosa la kiufundi sana hili.

Hayo ni maneno yako sio maneno ya viongozi wa act wazalendo wala sio sera ya act. Bali ni mbadala wa vyama vyote vya siasa kwa kuirejesha nchi kwenye misingi yake ya awali ambapo vyama vyote vilivyokuwepo vimeshaacha misingi ya kumkomboa mtanzania wewe. Act wazalendo ni chama chenye sera za kukusaidia wewe mwenyewe
 
Vijana wa bavicha wamepagawa au mnaogopa mfalme mbowe kutangaza mali zake?
Ni lini alishawai kuwambia uwadilifu katika chama
 
ZZK is a psychopath! All what's doing'll simply backfire pathetically into his face. He's trying to frustrate unfrustratable young generation of Tz who have come to realize the true chameleonic colours of ZZK. Will he succeed to divide our votes? This's is a matter of wait and see.

pal,hurry up and get a medical advice,you have acute zittophobia
 
Kwa hiyo wewe swala la maadili viongozi watangaze mali zao huliafiki?

Hili swala mimi siliafiki kabisa, kwa sababu hatujui idadi ya mali zao na hawasemi ukweli wana mali kiasi gani, pili wanaendelea kujilimbikizia mali wakiwa madarakani na hata ikithibitika wamepata kwa njia haramu hawachukuliwi hatua yoyote, hivi Tibaijuka alishawahi kutangaza kama ana miliki shule? Kwa Tanzania hii sheria ni unafiki tu.
 
ZZK is a psychopath! All what's doing'll simply backfire pathetically into his face. He's trying to frustrate unfrustratable young generation of Tz who have come to realize the true chameleonic colours of ZZK. Will he succeed to divide our votes? This's is a matter of wait and see.
From your writing, you seem to be frustrated.
 
hahahahaha zzk alyatollah ana vituko sana kaziiiii kweli kweli huyu supreme leader
 
kweli ayatola zzk msanii! Copy and paste from mafisiemu. Kutangaza mali sio issue kabisa, issue ni kuhakiki, nani anahakiki kama mali iliyotangazwa na kiongozi ni kweli, na nani atachukua hatua kama ni uongo. Yale yale - ya usanii wa magambas.

Ndiyo maana chadema chini ya ukawa ilitaka vipengele vya maadili ya viongozi viwekwe wazi kwenye katiba, kama ilivyokuwa katiba ya warioba. Magambas chini ya yule chatu makengeza waligoma, wakabadili ili iwe vile vile kama zamani, yaani viongozi kutangaza tu mali bila uhakiki - usanii tu.
mie nadhani tumeachana vizuri. Wote twende kwa wananchi. Mbaya kaondoka tayari yupo zake act. Ninyi wazuri mmebaki chadema. Mbona bado mnalalamika.samaki hajui umuhimu wa maji mpaka ametolewa nje.
 
Hahahaha ndiyo ujamaa huo mkuu, ni kuvumilia tu.
Kweli kabisa, unajua jukwaa hili sisi wengine hulitumia kuwakosoa pale tunapoona makosa na hili la kutaja mali zako binafsi siliafiki kuwa ni Ujamaa wa Demokrasia ila Ujamaa wa Kikomunist.

Kwa maana kwamba lengo kuu la Ujamaa wa demokrasia ni kumkomboa mtu kutoka katika umaskini, yaani waliopo chini wapande juu kufaidika na rasilimali za taifa, sasa unapotaja mali zako sijui kwa kipimo gani utaonekana safi au umekiuka? kuna lengo gani la kujua mali za mtu, maana kiitikadi kila mtu anapotoka katika umaskini ni dalili nzuri ya malengo na mwelekeo wa chama. Hivuyo wanataka kujua mali zako ili wakusaidie utoke ama ni kukutazama kama ni maskini mwenzao!

Dhana ya kwamba chama kinahitaji utaje mali zako ili usionekane tajiri ni dhana inayokana Utajirisho, yaani mtu abakie pale pale ktk umaskini kupigania umaskini wakati lengo kuu ni kumwondoa mtu katika Umaskini - haingii akilini. Na zaidi ya hapo hakuna ushahidi wowote wa matukio ambao umeonyesha kiongozi maskini ana nia, ari na uwezo mkubwa zaidi wa ukombozi kuliko tajiri isipokuwa nia ya dhati na uelewa wa Mahitaji (NEED) juu ya Matamanio (GREED). Kuna maskini wenye matamanio (Greed) na hawa ni hatari zaidi ya Tajiri mwenye kutazama Mahitaji (need).

Mimi ningewashauri tu ACT walitazame upya swala hili badala yake wakijite katika kutaja hisa na uwekezaji halali wa viongozi wake na kuhakikisha kwamba kila mmoja wao ana file tax ambayo ni kielelezo tosha cha mapato ya mtu kwa kila mwaka na hata mali zao huainishwa. Kuhakikisha kwamba chama kinasisitiza katika Itikadi na sera ambazo zinamlenga kila Mtanzania kupiga hatua mbele kuondokana na Umaskini badala ya kujikita katika Umaskini kama ndio kiashirio cha Uzalendo.
 
Tunajua zito ni mkono wa ccm,ndomaana hana hoja za maana zaid ya kupambana na wapinzani
 
Kama siy lengo maalum la waandishi na wapenzi wa hicho chama kipya kilicho iba jina la ACT, Napata wasiwasi mkubwa kuhusu majina yanayotumiwa na chama hivyo. Jina kamili la chama hicho silielewi
Wenyewe mwanzo wanajiita ACT, hivi karibuni zimeanza nyimbo mara ooh ACT Tanzania, ACT Wazalendo! Swali ni kuwa majina haya mapya ni kukwepa kutumia jina la chama cha wakulima Tanzania (ACT)ambao ndiyo wamiliki wa jina hilo?? Je, majina haya mapya ya ACT Tanzania, ACT Wazalendo yanatambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa?

Halafu Zitto atakuwaje kiongozi mkuu wa hiyo ACT ili hali siyo mwenyekiti wa chama hicho? Au ndiyo ni mlolongo ule ule wa yeye Zitto kutoa hotuba ndefu kama mwenyekiti wakati yeye kisheria ni mwanachama wa kawaida? Kwa nini Zitto alitoa hotuba ile ndefu kuliko hata mwenyekiti ili hali akiwa ni mwanachama ndani ya siku tatu tu tangu apate uanachama? Na je, ilikuwaje katika hotuba yake ajitaje kwamba yeye kama kiongozi wa ACT wakati huo yeye akiwa ni mwanachama mwenye uhai wa siku tatu tu ndani ya chama, alikuwa na uongozi gani ndani ya muda huo mfupi?
Haya yananipa wasiwasi kuwa Mwenyekiti wa aidha ACT, ACT Tanzania au ACT Wazalendo ni boya lililowekwa kukidhi matakwa ya kikatiba ya chama / usajili/ kisheria lakini si mwenyekiti mioyoni mwa viongozi wanzilishi wa ACT! Yamkini Zitto aliandaliwa kama mwenyekitilakini mazingira hayakuruhusu baada ya kuona kelele zinazidi mitaani kuhusu uhalali wake kuwa Mwenyekiti ndani ya muda mfupi na kinyume na katiba ya chama chake!

Wanachi wawe makini na wadadisi habari zinazolenga chama hiki, nyingi zina zua maswali mengi ukizisoma kwa umakini na kuzitafakari uhalisia wake! Tahadhari, chukua hatua!
 
Sasa usipo fanya biashara Chama utaendeshaje?

UJAMAA UNATUCOST MPAKA LEO

CHINA NA URUSI WALISHA UACHA UJAMAA

AMEBAKIA KIFUTU WA KOREA TU NAYO TUNAONA NCHI YAKE ILIVYO TOFAUTI NA WENZAO WA KUSINI WALIOFATA SERE ZA UBEPARI.

China inatawaliwa bado na chama 'KIMOJA' Chama cha Kikomunist Cha Watu wa China na mambo ya ushirika na ujamaa ndiyo ysliyowafikisha mbali sana ....
 
Kama siy lengo maalum la waandishi na wapenzi wa hicho chama kipya kilicho iba jina la ACT, Napata wasiwasi mkubwa kuhusu majina yanayotumiwa na chama hivyo. Jina kamili la chama hicho silielewi
Wenyewe mwanzo wanajiita ACT, hivi karibuni zimeanza nyimbo mara ooh ACT Tanzania, ACT Wazalendo! Swali ni kuwa majina haya mapya ni kukwepa kutumia jina la chama cha wakulima Tanzania (ACT)ambao ndiyo wamiliki wa jina hilo?? Je, majina haya mapya ya ACT Tanzania, ACT Wazalendo yanatambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa?

Halafu Zitto atakuwaje kiongozi mkuu wa hiyo ACT ili hali siyo mwenyekiti wa chama hicho? Au ndiyo ni mlolongo ule ule wa yeye Zitto kutoa hotuba ndefu kama mwenyekiti wakati yeye kisheria ni mwanachama wa kawaida? Kwa nini Zitto alitoa hotuba ile ndefu kuliko hata mwenyekiti ili hali akiwa ni mwanachama ndani ya siku tatu tu tangu apate uanachama? Na je, ilikuwaje katika hotuba yake ajitaje kwamba yeye kama kiongozi wa ACT wakati huo yeye akiwa ni mwanachama mwenye uhai wa siku tatu tu ndani ya chama, alikuwa na uongozi gani ndani ya muda huo mfupi?
Haya yananipa wasiwasi kuwa Mwenyekiti wa aidha ACT, ACT Tanzania au ACT Wazalendo ni boya lililowekwa kukidhi matakwa ya kikatiba ya chama / usajili/ kisheria lakini si mwenyekiti mioyoni mwa viongozi wanzilishi wa ACT! Yamkini Zitto aliandaliwa kama mwenyekitilakini mazingira hayakuruhusu baada ya kuona kelele zinazidi mitaani kuhusu uhalali wake kuwa Mwenyekiti ndani ya muda mfupi na kinyume na katiba ya chama chake!

Wanachi wawe makini na wadadisi habari zinazolenga chama hiki, nyingi zina zua maswali mengi ukizisoma kwa umakini na kuzitafakari uhalisia wake! Tahadhari, chukua hatua!
ACT ni kifupi cha maneno yanayounda chama hicho cha Alliance for Change and Transparency - Tanzania, tofauti na chama cha Wakulimakiitwacho Alliance for Tanzanian Farmers Party ambacho kwanza sielewi kwa nini wametumia kifupi cha ACT badala ya ATFP.

Pili, Cheo cha Kiongozi na Mwenyekiti ni viti viwili tofauti inatakiwa wewe mwenyewe ujifunze na kuelewa tofauti. Ujinga sii kilema ni kuelimishwa ukaelewa na kama bado hujaelewa basi utakuwa na matatizo wewe kiakili.

Nitakufahamisha, katika uzinduzi wa chama hotuba hazina muda na wala hakuna sheria hotuba inatakiwa kutolewa na nani. Kiongozi wa chama ndiye mkuu wa chama (rais) tofauti na Mwenyekiti ambaye ni kama Spika wa nchi. Kila mmoja ana nafasi yake katika kugawana mamlaka. Na kama bado huelewi tofauti baina ya rais na Spika itakuwa kazi mpya kukufahamisha muundo wa chama hiki.
 
Act wana Acti movie ambayo hawajui mwisho wake hao wasilit wameshazoea kusalitiana lazima wasalitiane tu. Tutaona meng sn na bado si tuko hapo, alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema imekuwaje? Alisema hajawah kuanzisha chama ndan ya chama ila tumeshuhudia kaenda kwenye chama chake alichokianzisha na kawa mwenye kiti na katiba ya chama chake kinasema mwanachama anatakiwa akae miez 6 pind ajiungapo na awe mwanachama hai, ila hatujaona hilo hv bac jamaa alishajiunga na chama zaman na amekianzisha yy na alibisha tutaona meng sn wanaojiita wazelendo wakat ni wasaliti.
 
ACT ni kifupi cha maneno yanayounda chama hicho cha Alliance for Change and Transparency - Tanzania, tofauti na chama cha Wakulimakiitwacho Alliance for Tanzanian Farmers Party ambacho kwanza sielewi kwa nini wametumia kifupi cha ACT badala ya ATFP.

Pili, Cheo cha Kiongozi na Mwenyekiti ni viti viwili tofauti inatakiwa wewe mwenyewe ujifunze na kuelewa tofauti. Ujinga sii kilema ni kuelimishwa ukaelewa na kama bado hujaelewa basi utakuwa na matatizo wewe kiakili.

Nitakufahamisha, katika uzinduzi wa chama hotuba hazina muda na wala hakuna sheria hotuba inatakiwa kutolewa na nani. Kiongozi wa chama ndiye mkuu wa chama (rais) tofauti na Mwenyekiti ambaye ni kama Spika wa nchi. Kila mmoja ana nafasi yake katika kugawana mamlaka. Na kama bado huelewi tofauti baina ya rais na Spika itakuwa kazi mpya kukufahamisha muundo wa chama hiki.

Mlichemka! Usitake kulazimisha mbichi kuwa mbivu!
 
Na hiyo mnayo tumia ACT Wazalendo imekaa vipi? Inatambulika kwa msajili wa vyama vya siasa?
 
Kama siy lengo maalum la waandishi na wapenzi wa hicho chama kipya kilicho iba jina la ACT, Napata wasiwasi mkubwa kuhusu majina yanayotumiwa na chama hivyo. Jina kamili la chama hicho silielewi
Wenyewe mwanzo wanajiita ACT, hivi karibuni zimeanza nyimbo mara ooh ACT Tanzania, ACT Wazalendo! Swali ni kuwa majina haya mapya ni kukwepa kutumia jina la chama cha wakulima Tanzania (ACT)ambao ndiyo wamiliki wa jina hilo?? Je, majina haya mapya ya ACT Tanzania, ACT Wazalendo yanatambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa?

Halafu Zitto atakuwaje kiongozi mkuu wa hiyo ACT ili hali siyo mwenyekiti wa chama hicho? Au ndiyo ni mlolongo ule ule wa yeye Zitto kutoa hotuba ndefu kama mwenyekiti wakati yeye kisheria ni mwanachama wa kawaida? Kwa nini Zitto alitoa hotuba ile ndefu kuliko hata mwenyekiti ili hali akiwa ni mwanachama ndani ya siku tatu tu tangu apate uanachama? Na je, ilikuwaje katika hotuba yake ajitaje kwamba yeye kama kiongozi wa ACT wakati huo yeye akiwa ni mwanachama mwenye uhai wa siku tatu tu ndani ya chama, alikuwa na uongozi gani ndani ya muda huo mfupi?
Haya yananipa wasiwasi kuwa Mwenyekiti wa aidha ACT, ACT Tanzania au ACT Wazalendo ni boya lililowekwa kukidhi matakwa ya kikatiba ya chama / usajili/ kisheria lakini si mwenyekiti mioyoni mwa viongozi wanzilishi wa ACT! Yamkini Zitto aliandaliwa kama mwenyekitilakini mazingira hayakuruhusu baada ya kuona kelele zinazidi mitaani kuhusu uhalali wake kuwa Mwenyekiti ndani ya muda mfupi na kinyume na katiba ya chama chake!

Wanachi wawe makini na wadadisi habari zinazolenga chama hiki, nyingi zina zua maswali mengi ukizisoma kwa umakini na kuzitafakari uhalisia wake! Tahadhari, chukua hatua!

nonsense
 
Back
Top Bottom