Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
AFYA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe bado ni tete, hivyo, serikali imeamua kumhamishia nchini India kwa matibabu.

Kaka wa Zitto, Salum Mohamed, amemueleza mwandishi wetu muda mfupi uliopita kwa njia ya simu kwamba mbunge huyo ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Fedha, anapelekwa India kwa matibabu zaidi.

Alisema, madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na serikali, wameamua Zitto apelekwe India ili akatibiwe matatizo ya kuziba kwa mishipa ya kichwa.

Salum alisema, vipimo vya CT Scan jana kwenye Hospitali ya Muhimbili kitengo cha dharura, vilionesha kuwa Zitto ana matatizo ya mishipa ya kichwa.

"Hili la mishipa ya kichwa ni kubwa ndiyo maana wameona apelekwe India. Taarifa ya safari ilishatolewa na hivi sasa nipo nashughulikia passport, inawezekana safari ikawa kesho asubuhi," a alisema Salum.

Kuhusu tatizo la mishipa ya kichwa, Salum alifafanua: "Mishipa imeziba ndiyo maana kichwa kinamuuma sana. Nadhani hili ni tatizo alilokuwa nalo muda mrefu lakini lilikuwa halijabainika."
 
Huwa kuna uvumi kuwa Zitto alikuwa na uhusiano na Chifupa, na kuwa Chifupa alikufa na mdudu... Kuna kufanana fulani jinsi walivyougua...
Ni kuna ukweli ZK alikamua sana AC na ZK ana sifa ya kuwa kicheche kwa mademu town.Kama ni kweli jamaa alikula ile mzigo basi nahisi ZITO atakuwa HIV+
 
Nasikia Zitto ana mengenits, huu ugojwa ni hatari mno ila naona viongozi wanasingizia malaria.
 
Ni kuna ukweli ZK alikamua sana AC na ZK ana sifa ya kuwa kicheche kwa mademu town.Kama ni kweli jamaa alikula ile mzigo basi nahisi ZITO atakuwa HIV+
aint 'i, aint' i, aint'i aint' my money long. Tatizo lako unafiki wewe shushushu.
 
Mi ndiyo maana mambo ya kuchangia mademu niliachaga tangu O-level. Hapo sasa naona mzimu wa Mpakanjia upo kazini.
 
Huwa kuna uvumi kuwa Zitto alikuwa na uhusiano na Chifupa, na kuwa Chifupa alikufa na mdudu... Kuna kufanana fulani jinsi walivyougua...

Mkuu mi nadhani ni masuala ya ulozi hata muhusika anafahamu wala hakuna cha malaria.
 
We mwandawazim. Una uhakika gani kama zito alikua ana mbonk amina chifupa bila condom? Mbona kiongozi wako jk tokea miaka ya tisini inasemekana anangoma lakini mpaka leo anaendelea kuwagonga madem zake na kuoa kama kawa? Acha majungu chizi wewe
 
Si katibu wa bunge amesema hali siyo mbaya kama ni kupelekwa labda kuanzia wiki ijayo ili amalize dozi yake ya malaria.

Mkubwa! Taarifa tuliyonayo ni kama usemavyo,lakini ujuwe JF ni wepesi ktk kupata News kbl hata ya na bila shk Mkubwa wangu inaweza ikawa kweli. Huu usemi upo hai mpaka leo: "LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO HAKIKA LAJA" ila wao ndiyo wamesema na ngoja niingie chumbani nimlilie MUNGU wetu ktk haki na kweli. Pepo huna hauna mamlaka! INDIA NO WAY!!! Jesus Christ!!!
 
Wakuu nimshitushwa hapa na taarifa zisizo na uhakika kuwa mpambanaji huyu kafariki vipi kuhusu hili mwenye taafrifa sahihi ebu hatujuze hapa hawa magamba hakika siku ipo

Mkuu hata mie nimesikia tetezi hizo usiku huu...tunaomba mwenye latest updates atujuze.
 
We mwandawazim. Una uhakika gani kama zito alikua ana mbonk amina chifupa bila condom? Mbona kiongozi wako jk tokea miaka ya tisini inasemekana anangoma lakini mpaka leo anaendelea kuwagonga madem zake na kuoa kama kawa? Acha majungu chizi wewe

Kinachomsaidia JK ni aina ya vyakula anavyokula. Sasa tatizo la Zitto huwa hapati chakula bora cha kupambana na vijidudu.
 
Sasa mbona wapiganaji wote watakuwa INDIA Jamani.Halafu hawa Al Shabaab nao wanatutia hofu...wasije kutekwa huko ugenini!!
 
Halafu mi nashindwa kuwaelewa chadema kuna unafiki flan unaendelea akina slaa,mboye pamoja na wengineo ndio walistahili kutuletea habari kamili. Ukimwa wao una utata nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea kuna uwezekano wana plani kum chacha wangwe wakishirikiana na maadui wengine wa ukweli na haki
 
Nilitarajia chama chake kingeweza kuwa na haraka ya kutoa tamko la kuwajulisha wanachama na Watanzania hali yake kwani a. ni kiongozi wa juu wa chama na ni kiongozi wa kitaifa. Si vizuri kuwa na kila mtu anatoa habari yake au kila anayeenda kumtembelea anatoa taarifa ya hali yake. Ina maana kweli hakuna mtu ambaye anaweza kutoa taariaf kama chama au kama "msemaji wa familia"? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
hapa mkuu sina nyongeza kama wamo humu wameelewa
 
Nilitarajia chama chake kingeweza kuwa na haraka ya kutoa tamko la kuwajulisha wanachama na Watanzania hali yake kwani a. ni kiongozi wa juu wa chama na ni kiongozi wa kitaifa. Si vizuri kuwa na kila mtu anatoa habari yake au kila anayeenda kumtembelea anatoa taarifa ya hali yake. Ina maana kweli hakuna mtu ambaye anaweza kutoa taariaf kama chama au kama "msemaji wa familia"? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Mkuu hili la chama chake bado limeniacha mdomo wazi, saizi namuombea tu kwanza mheshimiwa apone mengine nitayatoa hapo baadae. Ndio sababu kila dakika tunapata habari zisizoeleweka, matokeo yake watu wanajaa hofu. Mara ya mwisho hospitali jioni saa 10 dr alisema anaendelea vyema anahitaji tu kupumzika sana kwa ajili ya kichwa, lakini baada ya hapo spika ndio kaenda kumtembelea akatoka na sera ya India
 
Hata nami nimeshangazwa na taarifa ya dr kashilila kwani hata kuongea kwake kulikuwa kwa kusitasita sijui kulikoni huko muhimbili but tunajua mungu yupo pamoja naye na atampa kupona ili atekeleze arakati za kuubainisha ubadhilifu wa fedha za umma kama tarehe 31 october kamati yake imemwita waziri maige kuta toa maelezo kuhusu kuto undwa kwa bodi.
namuombea kwa mungu amponye haraka ili siku hiyo awepo.
 
Chadema hakina usimamizi mzuri au.?MBONA TUNAISHIA KUSOMA NA KUPEWA TAARIFA TU LAKINI CHAMA KIPO KIMYA.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom