Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wed, Oct 27, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Wana JF, nimemtembela Zitto mchana huu, hali yake siyo nzuri kabiasa. Tuendelee kumwombea ili, pamoja na wanaharakati wengine wa Chadema, waweze kuikomboa hii nchi inayoliwa na mafisadi wa CCM !
  [​IMG]
  Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kabla ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Muhimbili.  ************

  Na Mwandishi Wetu

  HALI ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan, ilibadilika ghafla jana jioni kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

  Zitto alilazwa Aga Khan juzi jioni baada ya kusumbuliwa na maumivu ya kichwa kabla ya kuruhusiwa na kisha kurudishwa baada ya maumivu hayo kuendelea.

  Kaka wa mbunge huyo, Salum Mohamed alisema jana jioni kwamba hali ya mdogo wake ilikuwa ikiendelea vyema lakini ilibadilika ghafla na kuanza kutetemeka.

  "Hali yake ya Zitto imegeuka kuwa mbaya, anatetemeka mwili mzima na sasa tunampeleka Muhimbili kwa uangalizi zaidi," alisema Mohamed.

  Jana jioni, mwandishi wa gazeti hili alimtembelea Zitto Aga Khan jana majira ya saa kumi jioni na kumkuta akiwa anaendelea vyema. Zitto, ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), alisema maeneo mengine katika mwili wake yalikuwa yamepona isipokuwa maumivu ya kichwa.

  Awali, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chadema, Erasto Tumbo alisema Zitto anasumbuliwa na ugonjwa wa kipanda uso.

  Aliwataka wanachama wake chama hicho, kumuombea kiongozi huyo ili apate nafuu na kushiriki kikamilifu kwenye vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Oktoba 8, mwaka huu.
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ugua pole shujaa ...
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ugua pole
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mh washindwe kwa jina la yesu! wanataka kumfanya nini mpiganaji wetu?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ugua pole haisaidii tena hapo... Cdm needs quick thinking
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Naomba iwe ni maradhi ya kawaida yanayoweza kumpata kila binadamau, na wala siyo kulishwa sumu. Iwapo nchi itajiingiza katika siasa za kulishana sumu basi taifa litatekea kabisa, kwani hata rushwa zilianzia kwa viongozi wa juu na baadaye kuenea nchi nzima. Kwa hiyo iwapo ulishanaji sumu utaanzia huko kkwa viongozi basi nchi yote itakiwehs akwa kulishana sumu ya mamba.

  Nakutakia matibabu mema Mheshimiwa Zitto, Mungu akujalia kila la kheri uendelee na shughuli zako za kila siku.
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... I hope this nation hasn't gone (That Low) in the kind of darkness as ....implied here ... ANW!!! Get well soon Hon Zitto Kabwe!!
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Get well soon Mr. Zitto!!
   
 9. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

  I hope the doctors at Muhimbili are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

  Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,531
  Trophy Points: 280
  Get Well Soon!.
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Ugua pole kijana.
   
 12. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Octoba 8??
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Get well soon hon Zitto
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tunamuombea apone kabisa. Bado anahitajika sana na taifa lake.
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Get well soon mpiganaji wa kweli.......
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  na ole wao ijulikane kuna mizengwe ktk ugonjwa wake
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu can you digest a little bit the meaning of these diseases,for many of us it is very difficult to understand these technical words.....
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mungu amtie nguvu na kumrejeshea afya yake mapema.
   
 19. H

  Haika JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Natumaini huyu Dr anae diagnose magonjwa haya hapo juu amemfanyia uchunguzi naomba asiwe kati ya Wale madaktari wetu wa mtaani wanaotibu bila majibu ya vipimo. Tunakuombea upone haraka shujaa wa Tanzania vita bado sana.
   
 20. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  I know what you are implying. Let the ones who has examine the patient come with diagnosis.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...