Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
2Q==

LISEMWALO LIPO.... huyu naona yeye anafurahi
 
pakua+%252825%2529.jpg


Speaker Anne Makinda akiwa hospitalini Mhimbili kumjulia hali Zito Kabwe, na anasema hali yake si mbaya sana. Bunge linafanya mpango wa kumsafirisha nje kupata matibabu zaidi, na taratibu zikikamilika taarifa itatolewa.

eee mwenyezi Mungu saidia kiumbe hiki kipone haraka ili kirudi kundini kuokoa watu wako juu ya unyonyayi unaoendelea AMIN
 
Hakuwa kwenye list ya watiu wanaotakiwa kuondoka na kina mwakyembe kweli? Ok hapa kwenye jf tulisikia mpango mahususi wa mkulo kutoa roho ya huyu kijana, hapa atakuwa hausiki?
 
Uzushi kwenye jamii za kileo za mawasilano kawaida Mandela wamemvumishia mara nyingi tu
 
anaendelea vizuri lakini atapelekwa India???????
siku hizi watu hupelekwa India kwa malaria na homa???????

kuna kitu hatukijui.....unknowns unknowns.....

Ni kweli mkuu nilipopata taarifa kuwa anaendelea vyema nilipumua..lakini kauli ya kwenda India ikanifanya niumwe pia..kuna kitu wanatuficha hapa...There is something wrong!!!
 
mkulo sikuhukumu wala kukutuhumu lakini utashindwa katika jina la Yesu na utaaibika.nguvu zako zako giza hazina mamlaka juu ya kazi ya mungu
 
Najua tumekuwa na utamaduni wa kumjulia hali mgonjwa lakini huu utitiri wa watu wanaoenda kumuona Zitto is too much. Wanampelekea bacteria tu hawa. Nadhani utaratibu ubadilishwe waruhusiwe watu wachache tu na sio kila saa mgonjwa anasumbuliwa kusalimiana na watu. Aachwe apumzike na kama ni salamu wafanye utaratibu mzuri na sio huu wa utitiri wa watu.
 
Kuna mambo bado hayajakaa sawa hapa. Kutokana na maelezo ya Dr Kashilila (katibu wa bunge) Muhimbili wamegundua kuwa Zitto alikuwa na malaria. Wote tunajua kabla ya kupelekwa Muhimbili Zitto alikuwa amelazwa Agha Khan Hospital, hivi kweli Aghan Khan walishindwa kugundua Zitto alikuwa na malaria? Na kama Muhimbili wamegundua malaria kwa nini wanaongea kumpeleka India? Muhimbili hawawezi kutibu hata malaria siku hizi?

Kwa ujumla haya majibu yanaancha nafasi ya rumours zaidi kuliko kutuliza akili za watu.
Dah, mwanzo sikupenda kushtuka sana na hali ya Mh, Zitto lakini sasa naanza kuogopa...Inshaallah Mwenyezi Mungu atampa uzima. Naomba sana mtu yeyote aliye karibu naye atueleze kwa ufasaha kimetokea nini na nini hali ya Zitto maanake nashangaa sana kuona viongozi wa Chadema kimyaaa! - Whats going on?
 
Haki ya Mungu... OLE WENU magamba MMGUSE Dr. Slaa. Nchi haitatawalika...
 
Pepo! Shindwa na ulegee!! Tuna mamlaka ya kukurudisha kuzimu kwani huko ndiyo kwako! Toka! Toka pepo rudi kuzimu mwenyewe! Hauna mamlaka ya kuwanyanyasa watu wa MUNGU,nasema TOKA! TOKA! PEPO MNYONYAJI WEWE! Hauwezi wanyamazisha watu wa MUNGU rudi kuzimu mwenyewe! Kwa mamlaka ya Bwana wetu YESU KIRSTO tunakuamru urudi kama ulivyokuja mwenyewe. Na hapa nina IMANI (MB) wetu,kijana wetu,mpiganaji wetu atapona na hakuna cha kupelekwa India. Hakuna litakalo mshinda MUNGU wetu aliyeumba Mbingu na Dunia pasipo nguzo. MUNGU WETU NAAMINI UTAONEKANA KWA KUWA TUNAKUHITAJI! Amen!!
 
Kuugua kwa Mh. Zitto kumekuja pamoja na kifo cha mwipwa wangu wa dada wa damu tunaefuatana, nimeumia sana kwa kupigwa na simanzi mbili kwa wakati mmoja, huku watu wakinizidishia uchungu kwa kuzusha kifo hewa cha zitto, Mungu awasamehe sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom