MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,644
- 33,455
Kutokana na hali ya kisiasa ilipofikia, nashauri kama mpenda maendeleo Chadema wafanye ya yafuatayoGet well soon mpiganaji wa kweli.......
1. Wasipuuze kuugua ghafla kwa viongozi wake wa juu na wabunge wanaotishia uhai wa serikali.
2. Kuwe na kitengo cha afya (kama hakipo) au daktari maalum mwaminifu atakae kuwa anasimamia kikamilifu matibabu ya viongozi na kutoa ushauri haraka.
3. Issue kama hii ya Zitto inaweza kuwa ugonjwa wa kawaida lakini pia inaweza kulenga kumtoa kwenye focus ya issues muhimu kuelekea kwenye vikao vya bunge, hivyo matibabu yake yapewe umuhimu wa pekee na kufatiliwa kwa karibu na doctor maalum.
Zinaweza kutumika mbinu za sumu na nyingine za hatari.nafikiri tuendele kutoa ushauri namna ya kulinda afya za viongozi wetu ktk mazingira ya siasa zetu zilipofika.