Zitto: ACT tunadaiwa milioni 300

Ruzuku na ada za wanachama zinafanya kazi gani? vinginevyo chama kitakufa.
Huku ni kuchangia mada kiitikadi bila kumfahamu kanuni za ruzuku. Ruzuku ya ACT ni ndogo sana maana hawana wabunge wengi. CCM na CDM wanapewa pesa nyingi zaidi ya vyama vyote.
 
Chama kina miaka miwili tu tayari kinadaiwa milioni 300, hivi kama kingelikuwa na umri kama CHADEMA na vyama vingine kingelikuwa kinadaiwa shilingi ngapi? Pole sana Zitto kuanzisha chama sio tatizo ni kumentain.
# Usione aibu kutubu na kurudi ulikotoka tutakusamehe.
chadema inadaiwa kuanzia mwenyekiti hadi ofisi, jengo la bob makani 2yrs halijaripwa kodi
 
Huku ni kuchangia mada kiitikadi bila kumfahamu kanuni za ruzuku. Ruzuku ya ACT ni ndogo sana maana hawana wabunge wengi. CCM na CDM wanapewa pesa nyingi zaidi ya vyama vyote.
Hakuna sehemu ambayo nimechangia kiitikadi mkuu, nimeuliza swali tu. Kwani vyama vingine km NCCR Mageuzi, UDP na TLP mbona havidaiwi?
 
Wekeni tuone mnadaiwa kiasi gain na nani?QUOTE="BAFA, post: 19059104, member: 48950"]Madeni kawaida na huku act wanaweka wazi sio huko kwenu yte anayajua mbowe halafu anajilipa mwenyewe[/QUOTE]
Di
 
Wapuuzi hawa walifanya biashara na ccm acha wadaiwe ile geto lao pale makumbusho sijui bei gani?
 
Hakuna sehemu ambayo nimechangia kiitikadi mkuu, nimeuliza swali tu. Kwani vyama vingine km NCCR Mageuzi, UDP na TLP mbona havidaiwi?
Kukaa kimya bila kutoa report yao unajuaje kama wamadaiwa? Nilidhani ungewasifu ACT kwakuwa wawazi. Wengine hatujui hata kama vitabu vyao vinakaguliwa. Halafu ujue kesi nyingine ya Zitto kutimuliwa CDM ilikuwa kelele zake alipokua mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu aliwataka CCM na Cdm wakaguliwe ndiyo noma ilipoanza sasa humu JF nawashangaa ninyi ma Great Thinkers mnamlarua badala ya kumsifu.
 
Mkuu mimi sijalaumu sehemu yeyote, nachotaka ACT wa budget yao iendane na kipato chao.
 
Chama kina miaka miwili tu tayari kinadaiwa milioni 300, hivi kama kingelikuwa na umri kama CHADEMA na vyama vingine kingelikuwa kinadaiwa shilingi ngapi? Pole sana Zitto kuanzisha chama sio tatizo ni kumentain.
# Usione aibu kutubu na kurudi ulikotoka tutakusamehe.
Bavicha mna matatizo sana.Unajua chadema inadaiwa shilingi ngapi na Mbowe tu?
Mbowe anakata milioni 60 kila mwezi kama consultation charges,gharama za kukishauri chama,unajua hilo?
Unajua kama mawakili wanaowatetea watu wanaoropoka makusudi kama lissu na lema kama wanakula milioni 40 kwa mwezi?.Sasa hapo zidisha kwa miezi 12 zidisha kwa miaka yote ya uhai wa chadema halafu linganisha na deni la ACT.
Zitto ni jasiri,chadema ukiwaambia watoe taarifa ya madeni unaweza kuzimia,kila kiongozi anakidai chama utadhani kuna biashara wanafanya
 
Kwani ACT nacho ni chama cha upinzani,maana upinzani unakipinga CCM lakini ACT inawapinga wapinzani asa CHADEMA
ACT Inapinga ujinga pasipo kujali upo upande gani iwe CCM,Chadema,Cuf Nccr au hata NLD ujinga utakuwa ni ujinga tu na hili ndilo Kosa lao

Wangekuwa wanaupinga ujinga na ufisadi kwa kuwa upo CCM na kisha mafisadi hao wangehamia upinzani ndiyo wangewaona mashujaaa hapa ujinga ungeongezeka na kuvuka mipaka na kuwa upumbavu(in Prof Palamagamba Voice
 
Mkuu mimi sijalaumu sehemu yeyote, nachotaka ACT wa budget yao iendane na kipato chao.
Itaendaje na bajeti yao wakati haina uwezo wa kupata ruzuku ya kutosha kutoka kwa serikali na haina vyanzo vya maana vya mapato? Bado hutakiwi kuilaumu ACT, pamoja na kuwa mimi si mshabiki wa ACT kindakindaki lakini ninaweza kusema ACT ni chama makini sana na kinaendeshwa kisayansi zaidi ya hata Maini political Parties ambazo zipo miaka 50, na 20 respectively. CCM wapo miaka zaidi ya 50, NCCR,CHADEMA na wengine wapo zaidi ya miaka 20 pamoja na kupewa ruzuku nyingi lakini hatujui hata matumizi yao na hivyo hatujui kama wanadaiwa ama hawadaiwi.
 
Hakuna sehemu nimelaumu soma vizuri nilichoandika.
 
Mumfikirie jaman yule bado mtu mzuri tu
Nadhan vyama viwili vikikaa mazungumzo yakafanyika muafaka utapatikana tu.
Wapinzani inabid wawe kitu kimoja
Kikubwa kinapochopaswa kufikiriwa hapa ni tuhuma dhidi yake zilizopelekea yeye kuvuliwa uanachama.

1. Je ameacha matendo ya kuvujisha siri za chama chake kwa chama tawala?
2. Alikuwa chimbuko la migogoro ndani ya chama akitumiwa kufanya hivyo na ccm, je amebadilika?
3. Alianzisha chama chake binafsi akiwa ndani ya CHADEMA, je anaweza kuwa na dhamira ya dhati kutumikia CHADEMA na kuachana na chama alichokiunda yeye mwenyewe?
4. Kama mwanzo aliyafanya yote haya kwa kurubuniwa na kulipwa na ccm, je unatapa wapi ujasiri wa kuamini kuwa hatoweza kushirikiana tena na ccm kuvunja nguvu ya upinzani?
 
Back
Top Bottom