exactly, hawezi kuvurugna na wa zenji ambako ugali wake mwingi unatokaZito hana namna, lazima atumikie ugali anaopata kutokea Zenji
Ukiona Zitto yuko kwenye press elewa akaunti tayari ina soma hela za kuhongwa na kuelekezwa cha kwenda kuongea.Huyu jamaa bhana !
Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema
Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa:
1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja
2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia na deni la pesa!
3. Wakurugenzi wameondolewa kuwa wasimamizi wa uchaguzi, anasahau kuwa senior officers wanaopendekezwa au waliowekwa kwenye shria ni waajiliwa Rais na wanalipwa na kupandishwa vyeo na rais na wako chii ya usimamizi wa Ras ambaye ni mteule wa rais! Zito akili zimekwenda kwa Ayatollah!
4. Kumwondoa Mkurugenziwa uchaguzi kuwa katibu wa usaili.....anashau kuwa wanaosaili ni wateule /au waajiliwa wa rais ambao wanapokea amri kutoka kwake.
5. Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutoteuliwa na rais......anasahau/anajifanya kutojua kuwa Jaji Mkuu atakayewafanyia musaili ni ni mteule wa Rais, hwezi kuktaa amri yake!
My analysis: Zito na chama chake kwa Tanganyika anajua kuwa hawezi kushinda urais au wabunge wengi. Ila kwa vile yeye ana uhakika wa may be kushinda Ubunge Kigoma mjini (kama alivyotangaza kugombea ubunge eneo hilo), haya mengine hayamhusu as long as atachaguliwa kuwa mbunge!
Kwa ufupi ni hayo!
kiongozi huyu msomi na makini sana wa kisiasa ni muungwana sana huyu kijana humu nchini na atafika mbali sana....Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema
Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa:
1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja
2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia na deni la pesa!
3. Wakurugenzi wameondolewa kuwa wasimamizi wa uchaguzi, anasahau kuwa senior officers wanaopendekezwa au waliowekwa kwenye shria ni waajiliwa Rais na wanalipwa na kupandishwa vyeo na rais na wako chii ya usimamizi wa Ras ambaye ni mteule wa rais! Zito akili zimekwenda kwa Ayatollah!
4. Kumwondoa Mkurugenziwa uchaguzi kuwa katibu wa usaili.....anashau kuwa wanaosaili ni wateule /au waajiliwa wa rais ambao wanapokea amri kutoka kwake.
5. Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutoteuliwa na rais......anasahau/anajifanya kutojua kuwa Jaji Mkuu atakayewafanyia musaili ni ni mteule wa Rais, hwezi kuktaa amri yake!
My analysis: Zito na chama chake kwa Tanganyika anajua kuwa hawezi kushinda urais au wabunge wengi. Ila kwa vile yeye ana uhakika wa may be kushinda Ubunge Kigoma mjini (kama alivyotangaza kugombea ubunge eneo hilo), haya mengine hayamhusu as long as atachaguliwa kuwa mbunge!
Kwa ufupi ni hayo!
Huyu mkongomani naye anazeeka vibayaZito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema

Huyu ni yeye au?Huyu mkongomani naye anazeeka vibayaView attachment 2902562
Zittto ameaidiwa kuachiwa majimbo 20 bara, iivyokuwa kwa NCCR ya Mbatia 2020 ambao wao waliahidiwa kuachiwa majimbo 25 lkn wakasalitiwa on the way.
Short and clear ZZK ni MDINI mkubwa! hafai kwa loloteZito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema
Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa:
1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja
2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia na deni la pesa!
3. Wakurugenzi wameondolewa kuwa wasimamizi wa uchaguzi, anasahau kuwa senior officers wanaopendekezwa au waliowekwa kwenye shria ni waajiliwa Rais na wanalipwa na kupandishwa vyeo na rais na wako chii ya usimamizi wa Ras ambaye ni mteule wa rais! Zito akili zimekwenda kwa Ayatollah!
4. Kumwondoa Mkurugenziwa uchaguzi kuwa katibu wa usaili.....anashau kuwa wanaosaili ni wateule /au waajiliwa wa rais ambao wanapokea amri kutoka kwake.
5. Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutoteuliwa na rais......anasahau/anajifanya kutojua kuwa Jaji Mkuu atakayewafanyia musaili ni ni mteule wa Rais, hwezi kuktaa amri yake!
My analysis: Zito na chama chake kwa Tanganyika anajua kuwa hawezi kushinda urais au wabunge wengi. Ila kwa vile yeye ana uhakika wa may be kushinda Ubunge Kigoma mjini (kama alivyotangaza kugombea ubunge eneo hilo), haya mengine hayamhusu as long as atachaguliwa kuwa mbunge!
Kwa ufupi ni hayo!
True. Zitto anasema kile wanachokitaka Wazenji ..... Na kwa sasa Wazenji hawana interest yoyoye na Bara hivyo wameridhika na yanayoendelea Visiwani ... Na kwa vile Maza ni wa kwao basi matatizo yao yote wameyaahirisha mpaka Maza atoke madarakani ....!!Zito hana namna, lazima atumikie ugali anaopata kutokea Zenji
Hata marekani mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na RaisZito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema
Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa:
1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja
2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia na deni la pesa!
3. Wakurugenzi wameondolewa kuwa wasimamizi wa uchaguzi, anasahau kuwa senior officers wanaopendekezwa au waliowekwa kwenye shria ni waajiliwa Rais na wanalipwa na kupandishwa vyeo na rais na wako chii ya usimamizi wa Ras ambaye ni mteule wa rais! Zito akili zimekwenda kwa Ayatollah!
4. Kumwondoa Mkurugenziwa uchaguzi kuwa katibu wa usaili.....anashau kuwa wanaosaili ni wateule /au waajiliwa wa rais ambao wanapokea amri kutoka kwake.
5. Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutoteuliwa na rais......anasahau/anajifanya kutojua kuwa Jaji Mkuu atakayewafanyia musaili ni ni mteule wa Rais, hwezi kuktaa amri yake!
My analysis: Zito na chama chake kwa Tanganyika anajua kuwa hawezi kushinda urais au wabunge wengi. Ila kwa vile yeye ana uhakika wa may be kushinda Ubunge Kigoma mjini (kama alivyotangaza kugombea ubunge eneo hilo), haya mengine hayamhusu as long as atachaguliwa kuwa mbunge!
Kwa ufupi ni hayo!
Yeye mwenyewe,chezea kubeba majini wewe !Huyu ni yeye au?