Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Nasikia Kigoma kaskazini alikoswakoswa uchaguzi mkuu uliopita.
 
Zitto ni mdini kama wadini wengine, kilichomkimbiza Kigoma Kaskazini ni udini tu, anashinda misikitini kwa wazee wa ujiji, gungu na buzebazeba ili wamsaidie kumpigia kampeni.
tena wamebadilishana na Serukamba kwa miadi kua CCM italeta mgombea dhaifu Kigoma Mjini ili ZZK apite kirahisi.

... Duuh, Kumbe Huyu Jamaa Ni Ccm Kitambo. Kweli Cdm Ina Intelijensia Kali.
 
Kiongozi Mkuu wa ACT-
Wazalendo, Zitto Kabwe
amesema anakusudia kuwa
mbunge wa Kigoma Mjini kwa
kipindi kimoja cha miaka mitano
kuanzia 2015 hadi 2020, kabla
ya kuomba kazi nyingine ya
kufanya kwa Watanzania.
Mbunge wa Jimbo hilo kwa sasa
ni Peter Serukamba wa Chama
cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza baada ya
kujiandikisha katika Daftari la
Kudumu la Wapigakura katika
Kituo cha OTTU Mwanga Mjini
Kigoma juzi, Zitto alisema ana
dhamira ya kuhakikisha ACT
inashinda majimbo yote manane
katika Uchaguzi Mkuu mkoani
hapa.
“Tumejipanga vizuri kushinda
majimbo yote ya Mkoa wa
Kigoma, lakini tuna uhakika wa
kupata nusu ya majimbo mkoani
Tabora na lazima tupate majimbo
yote ya Kahama. Tumejipanga
vizuri kushinda bila shaka baada
ya Oktoba 25 watu watajua hiki
tunachokisema leo,” alisema
Zitto.Chanzo:Mwananchi
 
Day dreaming..ata sungura uwa anajipa moyo akidhani yeye ni tembo ndogo.
!!
 
Huyu Jamaa Alisema Hatagombea Tena Ubunge, Anataka Urais, Vipi Tena Mbona Haeleweki
 
Anaota huyu, anasema majimbo yote ya kigoma ACT watachukua, nusu ya majimbo ya Tabora atachukua, na Kahama yote atachukua. Hahahaaa! Huyu jamaa ameanza kuchanganyikiwa! October ntakuja kumsuta hapa uongo wake
 
image.jpg Huyu jamaa kathibitisha kuwa watu wa Kigoma ni problem .......milioni nzima sijui,aliitoa wapi ....kisa ubishi na ujuaji mwingi......
 
Kiongozi Mkuu wa ACT-
Wazalendo, Zitto Kabwe
amesema anakusudia kuwa
mbunge wa Kigoma Mjini kwa
kipindi kimoja cha miaka mitano
kuanzia 2015 hadi 2020, kabla
ya kuomba kazi nyingine ya
kufanya kwa Watanzania.
Mbunge wa Jimbo hilo kwa sasa
ni Peter Serukamba wa Chama
cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza baada ya
kujiandikisha katika Daftari la
Kudumu la Wapigakura katika
Kituo cha OTTU Mwanga Mjini
Kigoma juzi, Zitto alisema ana
dhamira ya kuhakikisha ACT
inashinda majimbo yote manane
katika Uchaguzi Mkuu mkoani
hapa.
“Tumejipanga vizuri kushinda
majimbo yote ya Mkoa wa
Kigoma, lakini tuna uhakika wa
kupata nusu ya majimbo mkoani
Tabora na lazima tupate majimbo
yote ya Kahama. Tumejipanga
vizuri kushinda bila shaka baada
ya Oktoba 25 watu watajua hiki
tunachokisema leo,” alisema
Zitto.Chanzo:Mwananchi

Hivi maneno hujenga ghorofa?
hilo nalo tulione!!
 
Mafsadi watumie muda huu Kwani Octoba tunamrudisha tena bungeni kwa ajili ya mapambano. Wajilipe viinua mgongo km wanapora lkn najua akirudi mambo km haya huwa hayafumbii macho
 
Back
Top Bottom