Zitto aanza vita ya wazi dhidi ya Rais Magufuli

Sasa ni wazi kuwa Zitto kaanza rasmi kumshambulia Rais Magufuli, ukiangalia trend ya tweet zake za hivi karibuni ameaonekana kukosoa juhudi za Rais Magufuli tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma kidogo.

Mfano wa tweet zake na zingine ameaonekana kucopy kwa JK:

"@JrMalcolm88 @MariaSTsehai @Mkandara Rais ana historia ya kuingiza Taifa hasara. Mmesahau Meli ya Samaki? Mmesahau petrol station Mwanza?"

17m17 minutes ago
Zitto Kabwe Ruyagwa ‏@zittokabwe
@MariaSTsehai @jmkikwete Rais anasema watu ready handed wafungwe hapohapo? Hamjui nyie kuna watu hubambikiwa kesi mitaani? Tuwe makini sana

18m18 minutes ago
Zitto Kabwe Ruyagwa ‏@zittokabwe
@MariaSTsehai @jmkikwete Rais huyu analalamika wakwepa kodi hawafungwi ilhali yeye mwenyewe aliwapa muda kwenye makontena! Maria umesahau?

Sifa kubwa hasi ya mwanasiasa huyu ni ukigeugeu. Lakini pia duru za siasa zinasema amefanya kujaribu kulobby kwa Rais Magufuli ili japo chama chake kiweze kunufaika na uongozi wa awamu ya tano, imeonekana aliweza kufanya hivyo ktk uongozi uliopita na kwa kiasi fulani alifanikiwa. Sasa hivi anajaribu kuidhihaki serikali hii kwa sayansi yake ya kitoto ya saisa, ngoja tuone anakoelekea.
Kwa hili nakubaliana na Zitto Huyu maghufuli anakurupuka sana, anatumia zaidi mihemuko
 
Serikali yake kupitia Magereza si imeandika barua Mahakamani kutaka adhabu ya Mramba na Yona viwe kifungo cha nje , Unawezaje kusema JPM anataka wahujumu uchumi wachukuliwe hatua kali wakati serikali yake inafanya kinyume?
jamaa wamepiga hela ndefu alafu wanafungwa miaka kiducu
 
Kwa hili Naungana na Zitto, MAGUFULI sio presidential material, Watanzania hatukumchagua, CCM walitulazimishia tu kimabavu!
Maneno ya walioshindwa. Mwacheni Magufuli afanye kazi uchaguzi umeisha. Kila ck mmeibiwa kura mawakala wenu huwa wanalala vituoni wkt wa zoezi la kuhesabu kura.
 
Maneno ya walioshindwa. Mwacheni Magufuli afanye kazi uchaguzi umeisha. Kila ck mmeibiwa kura mawakala wenu huwa wanalala vituoni wkt wa zoezi la kuhesabu kura.
Mawakala wa CCM Zanzibar hawakuwepo? Mbona uchaguzi ulifutwa! Mpumbavu wewe! Mjinga kabisa!
 
Magufuri yuko juu ya sheria tukubaliane ni kweli tunatafuta mbadala; Je Mbowe,Lowasa na CDM au ZZK, na ACT-wazalendo nani yuko juu kimaamuzi? Tuyaishi tunayoyasema. Tumkosoe JPM kwa manufaa ya nchi yetu ,lakini maneno na matendo yetu yawiane.
 
No.. No. I say no mr zitto anaongea ukweli na wala siyo vita hivi Magufuli ni malaika hapaswi kukosolewa?
 
Mambo c hayo sasa,yani ni raha xana Kutokuwa NA chama coz unakuwa neutral(katikati)!!Ni mwendo wa kusikilizia TU ka unatizama sinema vileeeee!!!!!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom