Zitto aache upotoshaji

Sema mikataba mibovu ya ya selikari ya chama chetu CCM
 
Ipo wapi hiyo report anayoisoma?. Yasijekuwa yale yale ya kushtakiwa MIGA.
Kwahiyo ulitaka umuone hapo Twitter akiisoma hiyo ripoti, au?!

Nyie watu mnapoleta suala la MIGA huwa mnafurahisha sana!!

In short ni kwmba, as for now, bado Acacia hawana sababu ya kwenda MIGA!!

Ripoti za akina Mruma zilisema Acacia wanatakiwa kulipa TZS Trilion 425 Trillion... hadi sasa zimelipwa shilingi ngapi kati hizo 425T?

Aidha, likaja suala la kishika uchumba cha USD 300 Million... ni ngapi hadi sasa ambazo zimelipwa?!

Licha ya kushikiliwa makontena ya makinikia, shughuli za uchimbaji bado wanaendelea nazo kama kawaida!

Sasa kwanini kwa sasa waende MIGA wakati bado upepo mzuri bado upo upande wao!!!

Btw, hoja ya Tundu Lissu ilikuwa ni kwamba, ili hawa jamaa uweze kuwabana vizuri, Tanzania ijitoe kwanza MIGA ambako wanaweza kukimbilia!!

Yaani ikiwa bado mnashindwa kuona umuhimu wa ushauri mzuri kama huo, then you guys got big problems...
 
Huwa mnafurahisha sana mnapofanya kazi ya ushirikina na upigaji wa ramli.
 
Mbona ujaweka Richmond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado naisubiria Noah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji Noah zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana uwezo wa kumkosoa Zzk

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninao tena mkubwa sana, mimi siasa hainipi kula yangu, infact I do help a lot of young upcoming politician, huyu Zitto ambaye unafhani hakoseleki, mimi nimeshangai campaign zake mara nyingi sana tena nikiwa mwanachama mwenye kadi ya CCM lwa miaka 20 sasa. Mimi hua ninatoa michango yangu kwa wanasiasa ninaowaona wana uwezo mzuri wa kusaidi kwao na nchi, na sichagui chama.

Nimeshachangia campaign za Mnyika, January , Rage, Marehemu Deo Fili, mbaraka Dau, na kama wengine kama 4 amabo nilifeli sana ama wanenianguasha hata sitaki kuwataja.

So Brother or Sister I have the right kokosoa na kuunga mkono. Mie sio mdandiaji kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao
Pengine hatutashangaa iwapo serikali itawaanchia huru akina Sethi na Rugemalira (iwapo wata-enter plea) kwa makubaliano na serikali kuwa wafungue kesi ya madai dhidi ya Stan Chart Hong Kong na Mechmar [iwapo bado ipo maana tuliambiwa wajanja wale waliishajitangazia kufiliska] wakiomba/wakitaka ufafanuzi wa kisheria wa uhalali wa umiliki wa IPTL.

Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana (collateral) kwa mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa [kinyemela] kwa Mechmar bila kushirikisha mwanahisa muhimu, VIP Engineering/James Rugemalira
Acacia kiukweli kabisa, dhamira yangu inaniambia tutapigwa!.
Paskali, hii siyo. Serikali ina ushahidi wa kutosha kuonesha vitendo vya kughushi na ulaghai uliofanywa na Acacia.
 
mafisiem naona mkielea kwenye kina cha maji ya shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…