Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Kwa hiyo usiseme siyo shida kulipa....Utawala wa sheria lazima uzingatiwe. Kama mahakama halali imeona tunahatia na kutoa hukumu hiyo lazima tukubali hukumu hiyo. Hivyo lazima tulipe au tukate rufaa. Bahati mbaya mahakama hizo za kimataifa hazina kukata rufaa, sana sana ni kuomba review ya mahakama hiyo hiyo: kitu ambacho kinaweza kuwa ni kupoteza muda tu na fedha. Hayo uliyoyataja ya ahadi ya sh 50m kila kijiji na mengineyo hayawezi kuwa sababu ya kuomba rufaa au ya kutotekeleza hukumu hiyo ya mahakama. Haya ndiyo matokeo ya mikataba mibovu tuliyoingia huko nyuma enzi za akina Chenge. Lazima tulipe. Tulifanya makosa lazima itu cost.
Ni kweli mkuuMimi naamini sio Lissu, Zitto au mtanzania yeyote anayependa tupigwe. Hakuna mtu anayeitakia nchi yake mabaya. Kinachokera ni maamuzi ya kukurupuka na ushabiki wa siasa usiojali maslahi ya nchi.
Lissu ameimba na issue ya Acacia tangu 2000's na kuna taarifa za kutosha juu hawa wawekezaji wanavyopiga....sheria zimepitishwa kwa nguvu ya ndio ya kwenye lips sio mioyoni. Leo mambo yakiharibika tuanze kuwaona wale waliojitoa mhanga kutetea maslahi ya hii kuwa ni wasaliti.
Msaliti wa kwanza ni mtu asiyetaka kukabali ukweli, ikiwa wewe na mimi hatukubali na hatuambiliki basi jua sisi ndio wasaliti wa kwanza na ndio tunaoliangamiza taifa.
Siyo shida kwa sababu hiyo pesa ni kidogo sana kama kweli ni haki yao. Kama siyo haki yao tutakata rufaa/review ambayo itaendeshwa na wanasheria wetu kutoka ofisi ya AG badala ya wa kukodi kutoka TLS ambao mara zote huwa tunapigwa! Na ndivyo tutakachofanya kwenye ile hukumu ya Tanesco. Tukishindwa tutalipa.Kwa hiyo usiseme siyo shida kulipa....
Na ni kawaida yenu kuwataja watangulizi kwenye kila kosa
Umeandika kisomi Dkt.MayallaMkuu Masiga, wewe ndio uache upotoshaji, kwa vile nyingi ya arbitrations ni mashauri ya kimataifa ambayo matokeo yake huwa ni final and conclusive, ili hiyo awards iweze kutekelezwa, it has to be registered kwenye domestic laws kwa kusajiliwa Mahakama Kuu yetu ili ziweze kupata forces of law ziweze kutekelezwa. Local laws zetu hazina hiyo clause, hivyo kila mtu atajua, ndio maana tuliijua tozo ya dowans, na kwa taarifa, ililipwa japo kwa siri!. Juzi bombadier zetu zilishikwa Canada, tumelipa!. Hizi pesa za Stan Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao.
Acacia kiukweli kabisa, dhamira yangu inaniambia tutapigwa!.
P
BYESiyo shida kwa sababu hiyo pesa ni kidogo sana kama kweli ni haki yao. Kama siyo haki yao tutakata rufaa/review ambayo itaendeshwa na wanasheria wetu kutoka ofisi ya AG badala ya wa kukodi kutoka TLS ambao mara zote huwa tunapigwa! Na ndivyo tutakachofanya kwenye ile hukumu ya Tanesco. Tukishindwa tutalipa.
Article 30 ya sheria gani mkuu ?Unaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh Paskali...you know that we love you. Sasa mbona unaongea maneno yenye kutaka kutuacha uhamie Ubelgiji kupitia Nairobi?Mkuu Masiga, wewe ndio uache upotoshaji, kwa vile nyingi ya arbitrations ni mashauri ya kimataifa ambayo matokeo yake huwa ni final and conclusive, ili hiyo awards iweze kutekelezwa, it has to be registered kwenye domestic laws kwa kusajiliwa Mahakama Kuu yetu ili ziweze kupata forces of law ziweze kutekelezwa. Local laws zetu hazina hiyo clause, hivyo kila mtu atajua, ndio maana tuliijua tozo ya dowans, na kwa taarifa, ililipwa japo kwa siri!. Juzi bombadier zetu zilishikwa Canada, tumelipa!. Hizi pesa za Stan Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao.
Acacia kiukweli kabisa, dhamira yangu inaniambia tutapigwa!.
P
endeleeni kuota ndoto za mchanaMkuu Masiga, wewe ndio uache upotoshaji, kwa vile nyingi ya arbitrations ni mashauri ya kimataifa ambayo matokeo yake huwa ni final and conclusive, ili hiyo awards iweze kutekelezwa, it has to be registered kwenye domestic laws kwa kusajiliwa Mahakama Kuu yetu ili ziweze kupata forces of law ziweze kutekelezwa. Local laws zetu hazina hiyo clause, hivyo kila mtu atajua, ndio maana tuliijua tozo ya dowans, na kwa taarifa, ililipwa japo kwa siri!. Juzi bombadier zetu zilishikwa Canada, tumelipa!. Hizi pesa za Stan Chart HK, pia tutalipa, unless wawaachie Ruge na Seti wabebe zigo lao.
Acacia kiukweli kabisa, dhamira yangu inaniambia tutapigwa!.
P
we we una akili gani zaidi ya kushinda mitandaoni kuandika pumba?.. Headless chicken.Mshaanza kuweweseka,nyie ni kama kenge hasikii mpaka atokwe na damu masikioni. Endelea kutetea ujinga lakini mwisho wa siku vizazi vyetu vitahoji akili na utashi wa hiki kizazi chetu tulichopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zito anajulikana ni mpotoshaji..hiyo ripoti ameipikaKuna watu wanachosha si kidogo...
Twende taratibu kwanza: Ripoti ipi?!Zito anajulikana ni mpotoshaji..hiyo ripoti ameipika
Zito humjui.? Alianza kutudanganya kwenye ndege kuwa ni mitumba used, akaja ripoti ya upotevu wa trilioni 1.5.. sasa hivi amedakia accacia... Zito ni muongo mnoTwende taratibu kwanza: Ripoti ipi?!
Wewe humfikii kwa akili au uadilifu mh zitto hivyo huna sifa ya kumkosoa kwa lolote pimbi weweUnaweza kumuambia aache kutumika na kampuni ya Accacia kuudanganya umma na kujenga hofu kuwa maamuzi ya mahakama ya usuluhishi yataigharimu serikali ili hali si kweli kwani kanuni ya 30 ya Arbitration ya LCIA hawachapishi taarifa zao hivyo tumuulize Zitto Zubeir Kabwe kazitoa wapi?
Nimekuwekea hapa hiyo kanuni upitie..
#TuweWazalendo #HawanaChaKuzusha #SerikaliMakini View attachment 856079
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo hizo Noah zimeota mbawa tayariMbona umewahi haraka hivyo kwani wasiwasi wako nini?
Sisi tunasubili Noah zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nashindwa kuyafahamu mawazo ya hawa watu watetezi wa ccmMshaanza kuweweseka,nyie ni kama kenge hasikii mpaka atokwe na damu masikioni. Endelea kutetea ujinga lakini mwisho wa siku vizazi vyetu vitahoji akili na utashi wa hiki kizazi chetu tulichopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa sana huo mchezo! Huo mchezo kautumia sana Nimrod Mkono....!!! Hata kwa maamuma kama mimi nilikuwa nafahamu kwamba kesi husika lazima tungepigwa chini lakini pamoja na yote hayo, Nimrodi Mkono alikuwa anawashauri kufungua shauri jipya au kukata rufaa kwa sababu tu anafahamu yeye ataendelea kukunja pesa bila kujali tumeshinda au hapana!!!Siyo shida kwa sababu hiyo pesa ni kidogo sana kama kweli ni haki yao. Kama siyo haki yao tutakata rufaa/review ambayo itaendeshwa na wanasheria wetu kutoka ofisi ya AG badala ya wa kukodi kutoka TLS ambao mara zote huwa tunapigwa! Na ndivyo tutakachofanya kwenye ile hukumu ya Tanesco. Tukishindwa tutalipa.