Zitto aache upotoshaji

Kwani hata tukiwalipa shida iko wapi? Nchi yetu si masikini. Na tukwalipa hao Acasia tutawatimua nchini kwetu. Kwanza hatuna mkataba nao wo wote. Wahuni tu. This is not their country. Matapeli wakubwa! Tutawalipa kile mnachokiita ushika uchumba cha Barick.
 
Kizazi cha wanasiasa wapotoshaji.
 
Wakati Tundu Lisu anaiita ile ndude ni ...PROFESIONAL RUBISH... mliwaka ile mbaya.... lakini hadi LEO...
1. Hakuna kishika uchumba
2. Hakuna NOAH..
3. Zile Isuzu za tani 7 zilikuwa mbwembwe za kulinganishia tu
 
Yaani yeye ujinga anaouwaza ni kupatika kwa ripoti si rahisi... badala ya kuwaza KWAMBA THE REPORT NI HEARTBREAKING......

Hustorically.....
1. Samaki wa Magu tulilipa...
2. Kituo cha mafuta kilichobomolewa Mwanza tulilipa...
3. Kituo cha mafuta Mlimani city tulilipa
4. IPTL tunalipa.....

Kwa LAWS za proportionality, wallah na hii ndude tutalipa....
 
Kwahiyo Mkuu Bukililo, maneno hapa chini kwa tafsiri yako ina maana ni "maneno ya kusikia?"
 
Yaani yeye ujinga anaouwaza ni kupatika kwa ripoti si rahisi... badala ya kuwaza KWAMBA THE REPORT NI HEARTBREAKING......
Tena bora basi angeamini upatikanaji wa ripoti sio rahisi lakini yeye anaona haiwezekani kabisaaaaa.... yaaani kuna watu wanachosha sana!
 
Tena bora basi angeamini upatikanaji wa ripoti sio rahisi lakini yeye anaona haiwezekani kabisaaaaa.... yaaani kuna watu wanachosha sana!
Yaani nikikumbuka yote waliyoanza na kupinga tangu kipindi hichoo NGACHOKA
1. Loliondo kuuzwa walipinga ile mbaya hadi gazeti la motomoto likafuniwa mpaka leo
2. Zanzibar kujiunga na OIC walipinga haswaaa
3. tena JUZI tu hapa mmoja alikana kuhusika na makontena....
4. Ya kuitana NGEDELE nayo mule mule tu

Hata hili, si walisema hawana usajili TZ hivyo ni kama FAKE flani hivi..... Yaani mtu asiye na usajili...
1. Wafanyakazi wake wanalipa PAYEE... inatoka kwenye akaunti ya HUYO FAKE kwenda zinakokwenda PAYEE zote
2. Wafanyakazi wake wanalipa NSSF, PPF etc.... inatoka kwenye akaunti ya HUYO FAKE kwenda kwenye mifuko ya kijamii
3. Huyo FAKE wafanyakazi wake MISHAHARA INAPITIA BENKI... yaani inatoka kwenye akaunti ya huyo FAKE kwenda kwenye akkaunti za wafanyakazi.....

JAMANI, KAMA HUYO FAKE ANAWEZA AKAFANYA HAYO KWA MIAKA YOTE THEN, WALIOKUSANYA HELA HIZO NAO KWA NINI TUSIWAITE FAKE? kwamba wametakatisha hela? UFAKE WAO UMEWEZESHWA NA MKUSANYA PAYEE, MKUSANYA HELA ZA MIFUKO YA JAMII, MABENKI WANAKOLIPIWA WAFANYAKAZI

Sielewi wallah
 
Kwani hata tukiwalipa shida iko wapi? Nchi yetu si masikini. Na tukwalipa hao Acasia tutawatimua nchini kwetu. Kwanza hatuna mkataba nao wo wote. Wahuni tu. This is not their country. Matapeli wakubwa!
Kuwalipa siyo SHIDA..!!???? we mzima kweli?
1. Yaani ahadi ya 50M kila kijiji haijatimia kwa kukosa FEDHA, wewe useme kuwalipa siyo shida?
2. Yaani mahospitali kibao haya X-ray machine, shule watoto wanakaa chini, halafu wewe useme kuwalipa siyo shida?

Umetishaaa
 
Jamani hivi Watanzania mmesahau uhusiano wa ZZK na ACACIA? Mnakumbuka ile dissertation ya master's degree ya mwanafunzi kutoka Marekani aliyetafiti kuhusiana na mikataba ya madini TZ aligundua nini cha kushangaza? Kea aliyesahau ni kwamba alishangaa kuona kiasi cha pesa alichopewa mbunge ambaye Jimbo lake liko mbali na migodi wa ACACIA na isitoshe huyo mbunge akajengewa kituo cha afya jimboni kwake mbali kabisa na Jimbo lililopo mgodi wa ACACIA. Wajuaji a walipojiuliza sababu wakagundua ZZK alikuwepo kwenye tume ya Rais Kikwete kuhusu mikataba ya madini. Hivyo usishangae ZZK anazo inside information from ACACIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan over 75% ya yanayosemwa na serikali na genge lake la Lumumba ni uongo mtupu!!
 
Kwani hata tukiwalipa shida iko wapi? Nchi yetu si masikini. Na tukwalipa hao Acasia tutawatimua nchini kwetu. Kwanza hatuna mkataba nao wo wote. Wahuni tu. This is not their country. Matapeli wakubwa!
well said!
 
kwa hiyo ZZK tumwiteje kwa nchi yetu na uchumi wetu?
 
Hakuna siri mbona ya Standard Charted wote tumeona?
 
Utawala wa sheria lazima uzingatiwe. Kama mahakama halali imeona tunahatia na kutoa hukumu hiyo lazima tukubali hukumu hiyo. Hivyo lazima tulipe au tukate rufaa. Bahati mbaya mahakama hizo za kimataifa hazina kukata rufaa, sana sana ni kuomba review ya mahakama hiyo hiyo: kitu ambacho kinaweza kuwa ni kupoteza muda tu na fedha. Hayo uliyoyataja ya ahadi ya sh 50m kila kijiji na mengineyo hayawezi kuwa sababu ya kuomba rufaa au ya kutotekeleza hukumu hiyo ya mahakama. Haya ndiyo matokeo ya mikataba mibovu tuliyoingia huko nyuma enzi za akina Chenge. Lazima tulipe. Tulifanya makosa lazima itu cost. Yaliyopita si ndwele, tunaganga yajayo ambayo yatafurahisha!
 
Mimi naamini sio Lissu, Zitto au mtanzania yeyote anayependa tupigwe. Hakuna mtu anayeitakia nchi yake mabaya. Kinachokera ni maamuzi ya kukurupuka na ushabiki wa siasa usiojali maslahi ya nchi.

Lissu ameimba na issue ya Acacia tangu 2000's na kuna taarifa za kutosha juu hawa wawekezaji wanavyopiga....sheria zimepitishwa kwa nguvu ya ndio ya kwenye lips sio mioyoni. Leo mambo yakiharibika tuanze kuwaona wale waliojitoa mhanga kutetea maslahi ya hii kuwa ni wasaliti.

Msaliti wa kwanza ni mtu asiyetaka kukabali ukweli, ikiwa wewe na mimi hatukubali na hatuambiliki basi jua sisi ndio wasaliti wa kwanza na ndio tunaoliangamiza taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…