Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

Kwani Zzk ndio alikua anagombea hizo nafasi za Bunge kupitia chama chake? Mbona yeye anazungumziwa kama vile yeye alikua mgombea? Wanachama waliogombea kupitia chama chake wanasemaje kuhusu huo Uchaguzi maana wao ndio walitakiwa waje mbele ya umma.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unamaanisha wanafiki walimuhama Lipumba kwenye chama cha CUF na kwenda kujiunga na wenzao kina Zitto huko ACT? Au unamaanisha nini mkuu kwa kusema Lipumba hana chama tena?

Amefilisika kisiasa, Hao unaowaita wanafiki ndio wenye unit inayojielewa Zaidi wanachokifanya hapa TZ
 
Amefilisika kisiasa, Hao unaowaita wanafiki ndio wenye unit inayojielewa Zaidi wanachokifanya hapa TZ
Kwanza tukubaliane kwamba hao ni ACT? Kisha niambie wanafanya nini kwa mfano cha kuwapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba? Twende kazi
 
Zitto ni Tiss, ivi mpaka leo hamjajua tu,
 
Kwanza tukubaliane kwamba hao ni ACT? Kisha niambie wanafanya nini kwa mfano cha kuwapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba? Twende kazi

Mkuu CUF imekufa, na Ile iliokua CUF imeibukia ACT + Zitto. huhitaji Tochi kuliona hilo.

Kama si figisu za CCM ACT ingeliondoka na ushindi Zanzibar pamoja na karibu 75% ya wabunge na wajumbe wa uwakilishi. Bara wangeliondoka na hata majimbo 10 ya ubunge.
Ngome za CUF zote zimegeuka kuwa za ACT, Lindi, Mtwara, Tanga, Zanzibar.
 
Hapo tuko pamoja! Sasa niambie hiyo unit inayojitambua (ACT) wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba unayesema amefilisika kisiasa?
 
Hapo tuko pamoja! Sasa niambie hiyo unit inayojitambua (ACT) wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba unayesema amefilisika kisiasa?

Mkuu CUF kimeshakufa, huna habari kama mpaka majengo ya chama wanauza wanakula pesa? Toke chama kipasuke unajua wameshabadilisha Makatibu na manaibu katibu wangapi mpaka sasa?
ACT ni second most influenced opposition party ndani ya nchi, na biggest party ndani ya Zanzibar tena Zaidi ya Chama tawala. Hebu jaribu kutemebelea Zanzibar uone jinsi kilivyo stable kuliko hata ilivyo CHADEMA Bara
 
Nakuuliza kwa mara ya tatu; hao ACT wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba?
 
Nakuuliza kwa mara ya tatu; hao ACT wanafanya harakati gani inayowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba?

Hivi mara ya mwisho Lipumba ulimsikia lini? Hebu tafuta nyuzi zinazomuhusu Lipumba humu halafu utizame hao wachangiaje wake utajua tofauti ya ACT na Lipumba
 
Hivi mara ya mwisho Lipumba ulimsikia lini? Hebu tafuta nyuzi zinazomuhusu Lipumba humu halafu utizame hao wachangiaje wake utajua tofauti ya ACT na Lipumba
Kabla sijakupa clip za Lipumba kwanza uniambie chama cha ACT wanafanya harakati gani zinazowapa mtaji wa kisiasa kumzidi Lipumba?
 
Hs
Hata huyo mungu wenu Mbowe alisha wai tusaliti sisi wapenda mabadiriko,kwa kuuza nafasi ya urais kwa fisadi papa Lowassa according John Myika,wanasiasa wote ni sawa kila mmoja anatafuta furusa.
 
Hata Sina uhakika kama unaelewa maana ya neno lenyewe Demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…