Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

Hiii kitu imenikumbush mbali sna, wakati nasoma kulikuwa na mdada mmoja alikuwa nasoma nae, sema yeye alikuwa mtu mzima, nilishakutaga hivi vitu, sema yeye nilikutaga maneno haya""temeke Pepsi_kayumba hogo choma[emoji23][emoji16][emoji3][emoji2][emoji16][emoji3], dunia hiii jaman
 
Hizi mambo zipo sana na huwa zinastabilize ndoa nyingi sana hasa ukitaka kujua kwa nini wanawake ni wengi kuliko wanaume hapo utakuwa unapata idea ya kucheat,ukweli wa mambo wengi waliooa(umri mkubwa) na walioolewa(umri mdogo kuliko waoaji) wanakuwaga na mwendo kasi na baada ya muda flani mmoja wapo anaweza asimudu mwendo kasi wa mwenziwe na kujaribu kurekebisha kwa kadri ya uwezo wake,ikishindikana hiyo basi jua ya kuwa kucheat kunaanza kuwepo kuziba pengo lililozoeleka na kuachwa wazi ambalo harirekebishiki.Sasa hilo pengo ndio hapo code hizi huanza kutumika maana wanawake wako wengi na si vibaya tukasaidiana kukaa sawa na kuwatatulia kiu zao mubashara.Hizo code hata mimi nimezitumia sana sana kipindi hicho nipo kwenye haka kamchezo saa hizi nimepunguza sana mpaka mdada aniombe nimfungue kiu yake ndio namgegeda taratiibu..Wadada kuweni huru njooni tuu....
 
Macheater kama sie huwezi kunidanganya na code kama hizi,nakudaka asubuhi tu jioni yake na timu yangu tunakukula kiboga huku unakunywa hiyo Fanta
 
kuna jamaangu yeye huwaga wanatumia ON/OFF na huyo mke wa mtu.
Sasa nimemwambia na siku akidakwa na mwenye mke ataambiwa achojoe,halafu ashike ukuta kisha akibinue halafu aanze ku-apply hiyo ON/OFF ambayo itakuwa ni sawasawa na OPEN/CLOSE kudadadeki.
 
Kwaio PEPSI FANTA BARIDI SIJUI VIMTO, unaona usha maliza kujificha? Wansema every dog has his day ... time ya jamaa kukunasa bado ila itafika tu na atakunasa wewe au huyu Fanta wako
 
Acha mikwala, wake za watu kubambanjuliwa ni kawaida sana.
 
Mwanaume mwenye akili hawezi kujivunia kuharibu ndoa ya mwanaume mwenzie tena iliyomgharimu mambo mengi kuiimarisha.Huyu jamaa ana sifa za kijinga na ni mpuuzi.Heshimu ndoa ya mwenzio.
Hii ni mikwala, anaetakiwa kuheshimu ndoa ni mwanandoa mwenyewe c mimi wa nje, hata mimi nilishacontroll mke wa mtu, nikiwambia leo ucmpe jamaa ili kesho unipe mke anajiuguza, hvo jamaa hapati kitu.
 
Wewe umeongea kitu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…