Zitambue benki kuu za nchi mbalimbali zilizo kiganjani mwa familia tajiri duniani

Mbona Pro Russia wanasema benki kuu ya Russia ndio pekee haimilikiwi na Familia ya Rothschild?!
@Mathanzua.
Familia ya Rothschild ni familia yenye matajiri ikishuka kutoka chini ya Mayer Amschel Rothschild mwenyewe, kutokana na sababu za kisheria kwa Landgraves ya Ujerumani ya Hesse-Kassel katika Jiji la Frankfurt, Rothschild alianzisha benki yake katika miaka ya 1760s

Tofauti na mambo mengi mahakamani yaliyotangulia, Rothschild aliweza kuimarisha utajiri wake na kuanzisha familia ya kimataifa ya benki kupitia watoto wake watano, ambao walijiweka London, Paris, Frankfurt, Vienna na Naples. Familia iliinuliwa kwa cheo cha heshima katika Dola Takatifu ya Kirumi na Uingereza.

Katika karne ya 19, familia ya Rothschild ilikuwa na assets kubwa zaidi duniani, pamoja na assets kubwa zaidi ya historia ya dunia ya kisasa. Utajiri wa familia uligawanywa kati ya wazao mbalimbali. na leo maslahi yao yanashughulikia maeneo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na huduma za kifedha, mali isiyohamishika, madini, nishati, kilimo cha mchanganyiko, wine making na mashirika yasiyo ya faida.

Familia ya Rothschild mara nyingi imekuwa chini ya nadharia za njama nyingi ambazo zina asili ya antisemitic

Rothschild family ni mojawapo ya makundi ya ushauri wa kifedha mkubwa zaidi ulimwenguni, akiajiri watu 3, 400 katika nchi 40 kwa kutoa mtazamo wa kipekee wa kimataifa katika mgawanyiko wa biashara nne zinazoongoza soko; Ushauri wa Global, Usimamizi wa Mali, Mali ya Binafsi na Mabenki ya Wafanyabiashara.

Sehemu nyingine muhimu ya mkakati wa Meer Rothschild ya mafanikio ilikuwa kuweka udhibiti wa mabenki yao katika mikono ya familia, na kuwawezesha kudumisha siri kamili kuhusu ukubwa wa mali zao

Biashara ya benki ya Rothschild ilifanya kazi kwa fedha za juu duniani wakati wa mabadiliko ya uchumi wa viwanda vya Ulaya na zilikuwa na manufaa katika kusaidia mifumo ya reli duniani kote na katika fedha nyingi za serikali kwa ajili ya miradi kama vile Canal Suez. Katika karne ya 19, familia hiyo ilinunua sehemu kubwa ya mali huko Mayfair, London. (Mayfair ni eneo lenye thamani katika West End ya London kuelekea upande wa mashariki wa Hyde Park, katika Jiji la Westminster, kati ya Anwani ya Oxford, Regent Street, Piccadilly na Park Lane. Ni moja ya eneo la gharama kubwa huko London na duniani)

Familia ya Rothschild ilihusika moja kwa moja katika Uhuru wa Brazil kutoka kwa Portugal Kwa makubaliano, serikali ya Brazil inapaswa kulipa fidia ya pounds milioni mbili kwa Ufalme wa Ureno ili kukubali kuwapa uhuru Brazil. Na Familia ya Rothschild ndio ilikuwa na uwezo wa kutoa hii ela kuwapa Brazil ili waweze kujenga nchi yao. Mnamo mwaka 1824 Familia ya Rothschild ilitoa pounds milioni moja kama kianzio kwa ureno na iliyobaki waliitoa mwaka 1825. Lakini brazil ilipaswa kulipa deni hili kwa fimilia ya Rothschild kiasi cha paunds million 3.5.

Hii familia sio ya kispot spot kabisa,

"Watoto wa Rothschild ni maajabu ya benki ya kisasa ... tunaona wana wa Yuda, baada ya mateso ya miaka elfu mbili, kutazama juu ya wafalme, wakiinuka juu kuliko wafalme, na kuifanya bara zima la ulaya ndani ya mashimo ya mikono yao

Watoto wa Rothschild wanaongoza Nchi za Kikristo. Hakuna baraza la mawaziri linakwenda bila ushauri wao.Wao huweka mikono yao kwa urahisi, kutoka Petersburgh kwenda Vienna, kutoka Vienna hadi Paris, kutoka Paris hadi London, kutoka London hadi Washington. Ana funguo za amani au vita, baraka au laana ... Wao ni wakaguzi na washauri wa wafalme wa Ulaya na majemadari wa Jamhuri ya Amerika.

Nikipata muda nitaleta matukio mengine yaliyofanywa na wachawi hawa weupe.

Complete list of banks owned/controlled by The Rothschild family in the world. (hii ni list ya benk kuu mbali mbali za nchi tofauti duniani zinazomilikiwa na kuendeshwa na familia hii ya Rothschild)

Afghanistan: Bank of Afghanistan
Albania: Bank of Albania
Algeria: Bank of Algeria
Argentina: Central Bank of Argentina
Armenia: Central Bank of Armenia
Aruba: Central Bank of Aruba
Australia: Reserve Bank of Australia
Austria: Austrian National Bank
Azerbaijan: Central Bank of Azerbaijan Republic
Bahamas: Central Bank of The Bahamas
Bahrain: Central Bank of Bahrain
Bangladesh: Bangladesh Bank
Barbados: Central Bank of Barbados
Belarus: National Bank of the Republic of Belarus
Belgium: National Bank of Belgium
Belize: Central Bank of Belize
Benin: Central Bank of West African States (BCEAO)
Bermuda: Bermuda Monetary Authority
Bhutan: Royal Monetary Authority of Bhutan
Bolivia: Central Bank of Bolivia
Bosnia: Central Bank of Bosnia and Herzegovina
Botswana: Bank of Botswana
Brazil: Central Bank of Brazil
Bulgaria: Bulgarian National Bank
Burkina Faso: Central Bank of West African States (BCEAO)
Burundi: Bank of the Republic of Burundi
Cambodia: National Bank of Cambodia
Cameroon: Bank of Central African States
Canada: Bank of Canada – Banque du Canada
Cayman Islands: Cayman Islands Monetary Authority
Central African Republic: Bank of Central African States
Chad: Bank of Central African States
Chile: Central Bank of Chile
China: The People’s Bank of China
Colombia: Bank of the Republic
Comoros: Central Bank of Comoros
Congo: Bank of Central African States
Costa Rica: Central Bank of Costa Rica
Côte d’Ivoire: Central Bank of West African States (BCEAO)
Croatia: Croatian National Bank
Cuba: Central Bank of Cuba
Cyprus: Central Bank of Cyprus
Czech Republic: Czech National Bank
Denmark: National Bank of Denmark
Dominican Republic: Central Bank of the Dominican Republic
East Caribbean area: Eastern Caribbean Central Bank
Ecuador: Central Bank of Ecuador
Egypt: Central Bank of Egypt
El Salvador: Central Reserve Bank of El Salvador
Equatorial Guinea: Bank of Central African States
Estonia: Bank of Estonia
Ethiopia: National Bank of Ethiopia
European Union: European Central Bank
Fiji: Reserve Bank of Fiji
Finland: Bank of Finland
France: Bank of France
Gabon: Bank of Central African States
The Gambia: Central Bank of The Gambia
Georgia: National Bank of Georgia
Germany: Deutsche Bundesbank
Ghana: Bank of Ghana
Greece: Bank of Greece
Guatemala: Bank of Guatemala
Guinea Bissau: Central Bank of West African States (BCEAO)
Guyana: Bank of Guyana
Haiti: Central Bank of Haiti
Honduras: Central Bank of Honduras
Hong Kong: Hong Kong Monetary Authority
Hungary: Magyar Nemzeti Bank
Iceland: Central Bank of Iceland
India: Reserve Bank of India
Indonesia: Bank Indonesia
Iran: The Central Bank of the Islamic Republic of Iran
Iraq: Central Bank of Iraq
Ireland: Central Bank and Financial Services Authority of Ireland
Israel: Bank of Israel
Italy: Bank of Italy
Jamaica: Bank of Jamaica
Japan: Bank of Japan
Jordan: Central Bank of Jordan
Kazakhstan: National Bank of Kazakhstan
Kenya: Central Bank of Kenya
Korea: Bank of Korea
Kuwait: Central Bank of Kuwait
Kyrgyzstan: National Bank of the Kyrgyz Republic
Latvia: Bank of Latvia
Lebanon: Central Bank of Lebanon
Lesotho: Central Bank of Lesotho
Libya: Central Bank of Libya
Lithuania: Bank of Lithuania
Luxembourg: Central Bank of Luxembourg
Macao: Monetary Authority of Macao
Macedonia: National Bank of the Republic of Macedonia
Madagascar: Central Bank of Madagascar
Malawi: Reserve Bank of Malawi
Malaysia: Central Bank of Malaysia
Mali: Central Bank of West African States (BCEAO)
Malta: Central Bank of Malta
Mauritius: Bank of Mauritius
Mexico: Bank of Mexico
Moldova: National Bank of Moldova
Mongolia: Bank of Mongolia
Montenegro: Central Bank of Montenegro
Morocco: Bank of Morocco
Mozambique: Bank of Mozambique
Namibia: Bank of Namibia
Nepal: Central Bank of Nepal
Netherlands: Netherlands Bank
Netherlands Antilles: Bank of the Netherlands Antilles
New Zealand: Reserve Bank of New Zealand
Nicaragua: Central Bank of Nicaragua
Niger: Central Bank of West African States (BCEAO)
Nigeria: Central Bank of Nigeria
Norway: Central Bank of Norway
Oman: Central Bank of Oman
Pakistan: State Bank of Pakistan
Papua New Guinea: Bank of Papua New Guinea
Paraguay: Central Bank of Paraguay
Peru: Central Reserve Bank of Peru
Philippines: Bangko Sentral ng Pilipinas
Poland: National Bank of Poland
Portugal: Bank of Portugal
Qatar: Qatar Central Bank
Romania: National Bank of Romania
Russia: Central Bank of Russia
Rwanda: National Bank of Rwanda
San Marino: Central Bank of the Republic of San Marino
Samoa: Central Bank of Samoa
Saudi Arabia: Saudi Arabian Monetary Agency
Senegal: Central Bank of West African States (BCEAO)
Serbia: National Bank of Serbia
Seychelles: Central Bank of Seychelles
Sierra Leone: Bank of Sierra Leone
Singapore: Monetary Authority of Singapore
Slovakia: National Bank of Slovakia
Slovenia: Bank of Slovenia
Solomon Islands: Central Bank of Solomon Islands
South Africa: South African Reserve Bank
Spain: Bank of Spain
Sri Lanka: Central Bank of Sri Lanka
Sudan: Bank of Sudan
Surinam: Central Bank of Suriname
Swaziland: The Central Bank of Swaziland
Sweden: Sveriges Riksbank
Switzerland: Swiss National Bank
Tajikistan: National Bank of Tajikistan
Tanzania: Bank of Tanzania
Thailand: Bank of Thailand
Togo: Central Bank of West African States (BCEAO)
Tonga: National Reserve Bank of Tonga
Trinidad and Tobago: Central Bank of Trinidad and Tobago
Tunisia: Central Bank of Tunisia
Turkey: Central Bank of the Republic of Turkey
Uganda: Bank of Uganda
Ukraine: National Bank of Ukraine
United Arab Emirates: Central Bank of United Arab Emirates
United Kingdom: Bank of England
United States: The Dirty Nasty Stinky Fed, Federal Reserve Bank of New York
Uruguay: Central Bank of Uruguay
Vanuatu: Reserve Bank of Vanuatu
Venezuela: Central Bank of Venezuela
Vietnam: The State Bank of Vietnam
Yemen: Central Bank of Yemen
Zambia: Bank of Zambia
Zimbabwe: Reserve Bank of Zimbabwe


Source: Wikipedia.
 
Ni uongo
Hii mada nilikutana nayo one day nikaitasiri asilimia 50 haiishi ni ndefu sana hadi nikaiacha Rothschild ni Moto naweza sema anamiliki kila kitu maana Mashirika yote ana mikono yake ndani iwe Microsoft,Sijui Dell,Range rover,Scania na almost kila kitu kazi yake kuwapachika watu tu na kuanzisha makampuni most watu waliofanikiwa tuseme wote mitaji ni ya Rothschild family hata huyo Rockefeller family so ni Mitaji yake na anakula faida kila business ndio maana aliamua Kuunda Taifa la Kabila lake Israel ya Sasa.

Amefanya majaribio ya kuimiliki Russia ndio utata maana jaribio la mwisho kuuondosha utawala wa Russia ndio asilimia 70 ya nguvu zake nchini russia ikamezwa ila ni mpango uliopo kwenye Katiba ya Babu yao so hata Mjukuu one day ataiweka Russia kiganjani.

Kuna Tetesi lile jaribia alilokataa Yesu alipoambiwa amsujudie Joka kisha atapewa Mali zote za Duniani ndio huyo aliyemtokea Rothschild miaka ya 1700's huko. Ina maana Yesu angekubali Utajiri wa Joka hadi leo Hii Familia ya Utajiri ingekuwa Inaitwa Jesus Family na sio kama Tumuongelevyo Rothschild
 
Sio kweli.
Gadaff alikuwa anawazo la kujenga bank ya Africa na ilo wazo lake alikuwa amesha liwazilisha kwenye mkutano wa umoja wa africa, walipo mshtukia kuwa africa watajitoa kwenye cetral bank wakamwagi kumwondoa mapema kabla azma ya Africa kuwa na bank yao kuu wakamwahi na kumwondoa duniani

Yaani bank kuu zote duniani zipo china ya hawa jamaa, naskia hata magavana wa bank kuu wanateuliwa na hawa rockfeller na uwe umesomea katika vyuo vikuu vyao.
 
Sio kweli.
Uko well informed chief...
Kuongezea Hitler alijikuta matatani baada ya kuwakataa hawa jamaa.
Hata USA na mbwembwe zao zote hawana kauli kwa hawa jamaa wanaomiliki Federal Reserves.
 
Someni hiki kitabu muwatambue vema hao.
Screenshot_20220628-224011.jpg
 
Hii mada nilikutana nayo one day nikaitasiri asilimia 50 haiishi ni ndefu sana hadi nikaiacha Rothschild ni Moto naweza sema anamiliki kila kitu maana Mashirika yote ana mikono yake ndani iwe Microsoft,Sijui Dell,Range rover,Scania na almost kila kitu kazi yake kuwapachika watu tu na kuanzisha makampuni most watu waliofanikiwa tuseme wote mitaji ni ya Rothschild family hata huyo Rockefeller family so ni Mitaji yake na anakula faida kila business ndio maana aliamua Kuunda Taifa la Kabila lake Israel ya Sasa.

Amefanya majaribio ya kuimiliki Russia ndio utata maana jaribio la mwisho kuuondosha utawala wa Russia ndio asilimia 70 ya nguvu zake nchini russia ikamezwa ila ni mpango uliopo kwenye Katiba ya Babu yao so hata Mjukuu one day ataiweka Russia kiganjani.

Kuna Tetesi lile jaribia alilokataa Yesu alipoambiwa amsujudie Joka kisha atapewa Mali zote za Duniani ndio huyo aliyemtokea Rothschild miaka ya 1700's huko. Ina maana Yesu angekubali Utajiri wa Joka hadi leo Hii Familia ya Utajiri ingekuwa Inaitwa Jesus Family na sio kama Tumuongelevyo Rothschild
So Israel ya sasa ni fake na wanaojiita Wayahudi wa sasa siyo halisi ni fake???? Og wapo wapi na wanafananaje?
 
Umeniacha hewani mkuu. Unaposema BOT inamilikiwa na rothschild ukiwa na maana gani sababu it's not a private bank!! Au anaimiliki nyuma ya pazia!!!

Pengine asingeitaja Tanzania usingeuliza hili swali,

Labda angeulizwa ni kwa namna gani wamekuwemo huko katika hayo mabenki
 
Maswali fikirishi kuhusu Rothschild family
1).Hii family ya Rothschild,wamebaki wangapi Karne hii?
2).Kama wao ndiyo wamiliki wa benki Kuu zote duniani kwa nini wasiweke currency moja eg Rothschild currency au dollars, kwa maana sasa hivi kuna sarafu dhaifu na zenye nguvu
3).Mleta Uzi anasema Rothschild family imeajiri watumishi 3,400 duniani,kwa utajiri wote huu au ni Watumishi milioni 3,400 hapo sijaelewa.
4). Rothschild family wanamiliki benki Kuu zote duniani kupitia benki ya dunia na IMF au wamefanya direct investment kwenye benki hizo.
5). Pato au rasilimali za Rothschild family ni kiasi gani sasa hivi?
 
Back
Top Bottom