Ziro alimwambia babake haendi shule tena,akaulizwa kwann?akajibu inaelekea walim hawana hakika na majibu yao;juzi walisema 5+2=7,jana 3+4=7,leo 6+1=7 na kesho huenda watasema 7+0=7 sasa huo si ubabaishaji?
Labda Mwalimu alikuwa anamkaririsha bila kumpa ufafanuzi inatokea vipi mpaka jibu linakuwa saba... Ziro pamoja na u-ziro wake aliigomea elimu ya kukaririshwa, Bravo!