Zipo za Kumwaga kuanzia "small size" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zipo za Kumwaga kuanzia "small size"

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Jul 27, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wanaohitaji hii, zipo za kumwaga from Small size to XXXXL. Zapatikana katika ofisi za vijana wetu Lumumba na hata mikoani. ukihitaji uje na kitambulisho chako cha Kazi..ni bure hakuna kulipia chochote.


  [​IMG]

  securedownload.gif
   
 2. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu kwa Ubunifu.
  Vipi zinapatikana wapi na bei gani mkuu? Mi nahitaji nyingi kwa ajili ya familia yangu yote na ndugu wa karibu pia.
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Asante Mkuu.. zapatikana wapi hizi zinatufaa sana kwenye kampeni zetu sie wafanyakazi kuwahamasisha wenzetu wasijipendekeze kwake maana alitukana hadharani tena LIVE bila chenga kwenye vyombo vyote nchini vya habari.
   
 4. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Please, tuambieni zinapatikana wapi haraka.. nina mzuka nazo kishenzi..
   
 5. D

  Dick JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uhalisia wa hili???????????????? Mi chichemi!
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu nakutakia kila la heri kuzivaa, hata mimi nitaivaa, lakini uko tayari kumwagwa damu kama mimi?
   
 7. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko tayari kwa yote.. tusipokua wakati kidogo hawa CCM watazidi kutufanya mazuzu..
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu! hii ni biashara nzuri sana..ila utoe hiyo pcha hapo. maana hawa jamaa watakutandika wakutoe meno ya mbele buree!!

  Mi nipo tayari kuivaa!!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Presha zitawapanda zigo hilo likiingia mtaani!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kitambulisho cha kazi cha nini wakati ni za bure
   
 11. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #11
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe ni za Bure....kwa maana hiyo hata walala hoi wanaweza tu kuzipata sio...
  Hiyo safi sana, lakini wadau wanaoweza kuchangia chochote nadhani watakua tayari kuchangia hela kwa ajili ya printing.

  Nawakilisha tu..
   
 12. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ANGALIZO

  usitafute vita ya mawe,,,wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hiyo kazi uliyokuwa nayo kama unataa ife jaribu hii kitu

  uhuru wa hivyo bado bongo haupo..............

  lakini kma ujasiri huo unao.........big up!
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Malaria Sugu mpeni 1000 bill kwa RA
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ungekamilisha kwa ku-fotoshop kiganja kimaanishe ile 'up urs'
   
 16. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Ukitoa picha rangi ya fulana inatosha kabisa kufikisha ujumbe na wavaaji watakuwa salama. Kwa kuweka picha kwenye hayo maneno assumption ni kuwa huyo mwenye picha ametamka hivyo, kuna hatari ya mvaaji kuozea lupango mpaka uchaguzi upite.
   
 17. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Si mtego huu????
   
 18. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii kamba bin nyuzi ya Ngoshwe ni kali. Hiyo jeuri Tz. bado haijafika. Aidha, pendekezo la Abdulhalim utaambiwa haliendani na "maadili yetu ya kitanzania".Sisi ni watu waungwana sana. Hata mods hawatakubali, bila shaka. Yumkini muungwana hivi sasa anajutia kiherehere cha kuwasemea ovyo wekaz pamoja na kwamba tayari chama chao cha kimafia kishakamilisha mkakati wa kutimiza hesabu yao ya kura kama wao waitakavyo.
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  nitazitafuta baada ya oktoba wakati Slaa ni Rais
   
 20. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I can't wait to have it.. !!! Pls bring it on to the show !!!
   
Loading...