kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,435
- 4,997
Kama unaishi kwenye system ya maisha ya kitanzania naamini jibu utakua naloUnaoa kwa sababu unataka kuoa au kwa sababu ndugu na jamaa wanataka uoe?
Kwa sababu tayali nishajua utamu wa sex ndio maana nashindwa kuacha japo natamani niache"mimi kama ningekuwa sijawahi kufanya sex nisingefanya kabisa ningekua mtawa maana mapenzi sitaki ila sex natakaβΉοΈ"
Sex usingefanya ungekuwa mtawa ila mapenzi hautaki ila sex unataka....?
Kwa nini?Kwa sababu tayali nishajua wa sex ndio maana nashindwa kuacha japo natamani niache
So kama ningekua mtawa ningeepuka
1 ndoa
2 mahusiano ya kimapenzi
3 hata hiyo sex yenyewe
So now nahisia za sex kwa sababu mwili ulisha onja
Kwa sababu mahusiano yamenishinda moyo wa plasticKwa nini?
Ulitaka yaweje na yakakuendea vipi?Kwa sababu mahusiano yamenishinda moyo wa plastic
ππ yananiendea kombo mkuuUlitaka yaweje na yakakuendea vipi?
Na pesa kila mmoja awe na zakeIli ndoa iwe tamu kuwe na pesa na mpendane, lakini kwakua duniani tumekuja tu kutatua changamoto Mungu hawezi kukupa vyote π
Kivip? Kwani ulikua na matarijio gani?ππ yananiendea kombo mkuu
Hiyo ya pesa inapunguza migogoro unaweza kusema mume hajali familia kumbe hela hamna taabu inaanzaIli ndoa iwe tamu kuwe na pesa na mpendane, lakini kwakua duniani tumekuja tu kutatua changamoto Mungu hawezi kukupa vyote π
Na hapo Mwanaume aje nazo 60, Ke aje na 40 πNa pesa kila mmoja awe na zake
Tuko pamojaNa daftari langu kuchukua notes za ndoa
Mengi mkuu halafu mm mfukunyuku nikikuta uozo najikalia zangu pembeni so kwa dunia ya sasa ukiwa mfukunyuku lazima uonekane mbaya na yatakushindaKivip? Kwani ulikua na matarijio gani?