sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,486
Ndugu wasomaji na wachangiaji wa jukwaa hili, salam kwenu. Naomba mwenye kujua atufahamishe sifa mahususi za kuteuliwa kuwa:
=Afisa Elimu upande wa Sekondari na Primary
= Mkuu wa shule upande wa Sekondari na primary pia, kwa mujibu wa kanuni za ajira maana inaonekana wapo baadhi kielimu wapo nyuma sana, hawajui hata kuwasha kompyuta katika ulimwengu huu tunaoishi na hawa ndio chanzo cha ubovu wa elimu.