Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

Mkuu tayari nimepata developer account. Sijaelewa hapo kwene kuunlock

kuna njia mbili kuna tool ya kichina na kuna kwa kutumia sdk, ukiingia hio site utaona neno jailbreak anza na easy method ikishindikana ndo tumia hio chinese tool
 
NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim Lucky Patcher 5.6.7.apk free download cracked on google play HiAppHere Market
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita load kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapo patikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote

enjoy

Mdau ulie shindwa kucheza gunship buttle kazi kwako sasa.

Nairudia gunship battle Sasa hivi
 
NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim http://m.hiapphere.com/apk-lucky-patcher
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita load kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapo patikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote

enjoy

Mdau ulie shindwa kucheza gunship buttle kazi kwako sasa.

Mkuu naomba number yako..maana jarbu hyo selection ya modify apk haiji..naomba number mkuu nikuchek
 
Asphalt 8 ni game nzuri sana. Real time car experience

lakini ni arcade ukitaka real car experience toka kwa mtengenezaji huyo huyo (gameloft) tafuta gt racing 2
Screenshot.344569.100000.jpg

hili linakuwa ni simulation ya kuendesha gari zaidi, halina mission nzuri kama asphalt ila lipo ki reality zaidi
 
KWA WALE SIMU ZAO ZIPO ROOTED NA WANATAKA GEMU LA GUNSHIP BATTLE FREE UNLIMITED MONEY AND GOLD FUATA PROCCES HIZI:
Kwanza hakikisha ume install luck patcher kwa simu yako. Tuanze sasa
1.fungua lucky patcher
2.fungua menu ya patches
3.ingia palipoandikwa support patch for inapp and lvl emotion.
4.apply then subiri imalize kisha chagua neno lunch application.itakupeleka direct kwa gemu yako kule waweza nunua chochote kadri uwezavyo. Link ya gunship battle hiyo hapo
http://download1332.mediafire.com/x...heonegames.gunshipbattle_1.3.1_2005002031.apk
 
Baada ya kuchakachua ikawa hivi
 
Attachments

  • 1436090300974.jpg
    1436090300974.jpg
    39.3 KB · Views: 246
  • 1436090321132.jpg
    1436090321132.jpg
    38.9 KB · Views: 240
Yan hii game ni addictiv sana yan nimeanza kuicheza tangu v1.3.2 mpk Leo v1.9.0 na sijaichoka mpk Leo na nmenunua ndege na helicopter zote na nmeshamaliza missions zote

Hili gemu me huwa silichoki mkuu yaan kama una stress unasahau kabisa akili yako inahamia gemu hii ni 3D .huwa nalifuta inafika mda nalimiss nali instal tena
 
NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim Lucky Patcher 5.6.7.apk free download cracked on google play HiAppHere Market
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita load kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapo patikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote

enjoy

Mdau ulie shindwa kucheza gunship buttle kazi kwako sasa.

wakuu nimefuata process zote kwa game la D-day frontline-commando, ila mwisho nikifungua linashindwa kufunguka unatkea ujumbe "Download paused because wifi is unvailable".Msaada wenu wakuu.
 
Back
Top Bottom