Zipi faida za kusafirisha Full Container au Loose cargo from China?

Unatakiwa kujua mzigo wako una CBM ngapi na uzito kiasi gani (wengi husahau kuhusu uzito)au kama unaweza kujaa 20ft a 40ft container.Kma unatosha then bora upakie full container na siyo loose cargo.

Faida mojawapo za full container
1.mzigo wote huwa ni wako .Kama utapakilia kiwandani hutakuwa na hofu ya kupoteza baadhi ya vitu kwani mzigo utapakiliwa
Nafikiri wengi watafaidika na huu uzi Asante sana Mkuu
 
Yeap kaka maana yeye alitaka zile container zinarudi wapi ni kule unapony booking ukimaliza kutumia unarudisha kwa vile ni makampuni yale yale una kodisha labda cosco kwa china then unaleta mzigo Tz ukija huku tena kuna ofisi na yard za cosco unaliach huku baada ya de-stuffing ya mzigo na wa huku tz akitaka ku export anachukua anapeleka linabaki huku ni mzunguko
wewe hukumjibu badala yake umetoa maelekezo, ila wa chini kamjibu shortly
 
Yeap kaka maana yeye alitaka zile container zinarudi wapi ni kule unapony booking ukimaliza kutumia unarudisha kwa vile ni makampuni yale yale una kodisha labda cosco kwa china then unaleta mzigo Tz ukija huku tena kuna ofisi na yard za cosco unaliach huku baada ya de-stuffing ya mzigo na wa huku tz akitaka ku export anachukua anapeleka linabaki huku ni mzunguko
Hii elimu sikuijua kabla
 
Unakodi kwa kampuni binafsi au hiyo hiyo ya meli unayobeba inakupatia?
Na je kwa makadilio bei za kontena frulu usafiri kwa meli bei gani mfano kutoka china au uk

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Izo cost zinatofautina na kingine zinakuja kutokana na details ya mzigo mfano umejaa kweny 20ft au 40ft Pia baadhi wanaangalia days unakazo tumia container lao mfano kutoka china mpka tz labda siku 27 wao wanakupa qoutes labda per day $132 wanahesabu kikubwa unafanya booking kujua quotes wengine wahuni wanaangalia thamani ya mzigo mfano umepakia madini wanachaji pesa kubwa japo sio kigezo, na hizo container zina classs zipo zenye ac ndani ,zipo za luxuary kwa mifugo ishu nzima ukija kule kweny booking ndo unapata exactly price
 
Shukrani na hongera sana kwa kuanzisha huu uzi. Nikiwa na mzigo china, say machinery uko tayari kwa kuchukuliwa kutoka kiwandani, na unatosha kabisa kujaza kontena. Je shipping agent wa hapa TZ anaweza kutuma contena kiwandani kwenda kuuchukua na kuusafirisha kuja TZ, au mi ndo mwenye wajibu wa kumfikishia kwenye warehouse yake kama wafanyavyo wenye loose cargo? Na je, ni kampuni gani hapa TZ inayoaminika kwa kazi kama hiyo? Na je, kama nimepata certificate of incentives ya TIC, hivyo vyote kampuni ya usafirishaji itashughulikia wakati wa kugomboa kontena bandarini? Natanguliza shukrani🙏

🙏🙏
 
Mkuu,

Kwa ufupi ni kuwa hizi shipping lines siyo za watanzania, hivyo nyingi zipo huko duniani, huku Tanzania wana mawakala.

Kama unatoa mzigo china, huyo shipper wako (kiwandani) anaweza kukusaidia kufanya process za export huko.

Yeye atakusaidia kufanya booking na ku stuff mzigo kwenye container,

Kuna shipping lines nyingi hivyo anaweza tafuta/chagua kulingana na urahisi kwake.

Akishapakia na kulipa freight charges, atakutumia kitu kinaitwa BILL OF LADING, (hii inaweza kuwa original, Way bill non negotiable au Telex release) ili wewe ufanye process za importation huku.

Kumbuka huku hutaweza kutoa mzigo wewe mwenyewe lazima utafute clearing agent aliyesajiriwa TRA.

Atakusaidia process zote za huku.

Kwa container uwe makini na sharp na ujiandae na pesa za ushuru wote ili kuepuka storage charges na demurage charges.

Pia uandae na deposit fee ambayo inarudi kama dollar 500 ili shipping line wakuruhusu kutoka na container yao. Ukiwarudishia wanakurudishia pesa yako.

Kwenye agent hapo ndo uwe makini. Na malipo yote muombe control number ulipe mwenyewe labda ya shipping line ndo yana invoice.

All the best

Naamini nimekupa mwanga kidogo
 
Umetusaidia wengi
 
Back
Top Bottom