Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 268
nahitaji software ya kufungua mafile yenye extension ya .zip kwa simu yangu ya android gingerbread kwani imekuja bila hyo software. Na pia ningesaidiwa wwebsite ambayo ningedownload software mbalimbali za android ntashukuru sana.