JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 693
- 1,163
Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao
Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako
Ikiwezekana jaribu kutatua tatizo mwenyewe kwanza, kisha umweleze mtu unayemuomba ushauri mahali ulipokwama ili akusaidie kutokea hapo