tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Na mi hata nile vp sinenepi....sijui kwanin
Hahaha. ...utanenepa tu vumilia life likae sawa tutakusahau...mm I was kimbaumbau..baada ya kumaliza chuo na kuanza kazi tuu..mwili huuo
Na mi hata nile vp sinenepi....sijui kwanin
Labda...mwaka wa 6 job ila bado...labda hadi niwe boss hahahahhHahaha. ...utanenepa tu vumilia life likae sawa tutakusahau...mm I was kimbaumbau..baada ya kumaliza chuo na kuanza kazi tuu..mwili huuo