MoPlan
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 907
- 661
unapata nguvu za kugegedana sana mpaka asubuhi kitu ailali
Kwa Mwanamke??!! Nini hakilali kwa Mwanamke??!! Kwa mwanaume inajulikana ni ukuni wa kuchochea utamu!!
unapata nguvu za kugegedana sana mpaka asubuhi kitu ailali
Na mi hata nile vp sinenepi....sijui kwaninMimi hata nile kutwa mara moja sipunguuii.....ht nikifunga kwaresma sipungui...nna kilo 65 nataka nirudi back to 55 kwasasa nimechoka kujaribu
Na sisi wenye wake tutaweza kweli hii kitu.. maana unaweza kuunderperfom kisa umekula kimzaha usiku!! Nahitaji maelezo ya kina hapa..
Dah!! Ushauri wako ni kama nguvu za giza.. ile mambo unaiboost kwa gongo!!
Kwa Mwanamke??!! Nini hakilali kwa Mwanamke??!! Kwa mwanaume inajulikana ni ukuni wa kuchochea utamu!!
me sitaki kusema bwana ndo nini?
ha ha hajaribu siku moja mama watoto aje atoe simulizi
Hahaha,tiririka Mangi,Fanya kama unaongea na kibuyu cha Mbege!!!!
Bahati mbaya situmii pombe!!
je ile kitu ya A-TOWN inapanda ?
je ile kitu ya A-TOWN inapanda ?
basi tena mtoto mzuri kunywa maji yanatosha
Kunywa maji kwa ajili ya kupunguza uzito sawa.. Shida yangu ni kula kidogo usiku wakati najua ninatakiwa kutoa dose!! Nahisi kwa ule mchakamchaka unaweza kufia juu ya kifua cha mtu! Mtoa maada leta maelezo bhana acha kuzunguka na vitu vyako vya arusha mwishowe ujifanye umekosea tundu!
vyote vina mtanange wake, ila kama ni laga pata milk stout mbili na kiroba moja, shughuli itaanzia huko kilabuni, mgosi ataleta fujo mno, trust me hiyo doze ni nooooumaHa ahaa aaa kaka vipi,?! Kitu ya arusha tena!!! So bora pombe...
solution kubwa ni kufunga tu, ukisikia njaa kula matunda basi. nilikuwa na kilo 98 sasa nina 80 in within two months