wengi wetu.tunalalamika unene na vitambi, tunaenda gym lakini bado hatupungui zingatia ulaji huu wa kichina utaona maajabu.
ASUBUHI: kula vizuri, si lazima ushibe
MCHANA: kula ushibe, si lazima kiwe chakula kizuri sana
JIONI: kula kidogo, kiwe kizuri au cha kawaida
Iko hivi asubuhi ndio siku inaanza mwili unahitaji energy inabidi ule vizuri.
Mchana mwili umeshachangamka lakini pia uko bado na mishemishe hivyo kula ushibe.
Jioni huhitaji kula sana kwakuwa unaenda lala kwahiyo chakula hakitafanya kazi yoyote,vile vile kunywa maji mengi lita mbili kwa siku,epuka vitu vya baridi na vyenye sukari nyingi.
Jioni usichelewe sana kula.
Jaribu hii kitu kwa wiki mbili utaniambia.
Kumbuka kupima kilo zako kabla hujaanza hili zoezi na baada ya wiki mbili pima tena.[/QUOTE
Mkuu issue sio kula tu issue ni unatakiwa ule nini na kwa kiasi gani...