no but am chaggga will u mary me? or if ure a women will u mary ma brother i will not do any harm to you!!
Wachagga teh teh teh
Kwani Mkuu shida yako si kukojoa???? Akiwaza hela we hukojoi? Tatizo kama huna hizo hela ndiyo tatizo!!!!
haaaa haaaa co wote wengne "wadesi"
ukitaka mapenzi ya much know OA MNYAKYUSA:smile-big:
Kwanini unajiita Double K?
Nimezunguka sana nchi hii kwakweli kwa ujumla kila kabila lina umalaya (samahi kwa neno hilo) sema ni jinsi gani wanawake/wanaume ulivyowakuta na wanajiheshimu vipi. Pengine mtoa post hiyo kila kabila ulilo itaja hapo ulisha pitia na ukatoa wazo hilo maana msimulia mvua. Haya makabila yana watu wengi sana na wewe ulifikiri bila hivyo wangepatikana vipi? Mie nadhani siyo muhimu sana kujaji sana makabila bali watanzania kwa ujumla tu tubadilike na kuheshimu misingi ya dini na huenda hata magonjwa ya zinaa ya kapungua kama siyo kwisha kabisa.
Post za humu zinaweza nighaili kumuoa Mrangi wangu Cheupe wa barabara ya kumi na mbili ni mbichi kabisa.... Mambo ya kuwekewe Shuntama n Kwere tena... naona niache kula nyama za Home niishi nae fresh
we mura???
ukitaka kunyenyekewa na kuvumiliwa oa mbena bana! hupati stress kabisaaa
Mimi Mchaga tu ili mradi asiwe mpalestina!!! Piga ua wale ukioa hufi njaa, na wako strong hata kama Mungu amekupenda zaidi watoto ni lazima watasoma na maisha watapata!!! Kubali kataa ni hiari yako ila penye ukweli tuseme na tuachane na ushabiki!!!