Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
Ukitaka majungu OA MHAYA. Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA. Ukitaka Uchawi OA MFIPA. Ukitaka maneno OA MZENJI. Ukitaka mapishi OA MTANGA. Ukitaka Uume wenza OA MZARAMO. Ukiwa na shamba OA MSUKUMA. Ukitaka mapenzi ya kuona aibu oa MHEHE, Ukitaka kubana matumizi OA MPARE. Ukitaka Kisukari OA MWARABU mara tende mara halua!!! Ukitaka kuji-mix, oa mkerewe au mjita. Na kama unataka kuwachanganya m2 na dadake, OA Mrangi. Ukitaka kubishana na kupigana OA Mnyilamba,.Ukitaka kuzaa sana Oa Muha na ukitaka kubembelezwa na kudanganywa Oa mnyamwezi.