Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 134
- 230
1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe
2.Harufu nzuri. Hakikisha unanukia vizuri. Mwili,mdomo,nguo chumbani etc
3.Unajishughulisha, hamna kitu wanawake wanavutiwa nacho kama mwanaume anae hustle na kupambania ndoto zake. Sio lazima uwe millionaire lakini kile kitendo cha wewe kuhustle kinawavutia wanawake wengi.
4.Uwe msiri. Hii inawapa wanawake wengi security coz wanaona mambo yao hayawezi gundulika wala kujulikana kwa watu