Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
avatar101528_1.gif

Ciello

Samahani sana wapenzi wa JF chit chat, kwa ukimya wa muda mrefu. Leo mjengoni nipo na Ciello, mshindi wetu wa Miss Chit Chat wa mwezi Novemba 2012 ,ambaye kutokana na ushindi wake huo mnono nitafanya naye
Exclusive Interview ili kujua siri ya ushindi wake huo.
Ciello ameshinda kwa ushindi wa kishindo alioupata baada ya mchuano mkali ambapo alishinda kwa kura nyingi sana zipatazo 51 dhidi ya charminglady aliyepata kura 07, lara 1 aliyepata kura kura 13 na Arabela aliyepata kura 16.

Niko hapa na Kidadavuzi Mpakato changu (Lap Top) na nitapokea maswali yenu na maoni yenu kwa njia ya simu, ujumbe wa simu ya kiganjani, barua pepe (Email) na tarakishi (Fax). Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Ciello swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Ciello:

1. Je umezaliwa msimu gani?

2. Hebu nipe historia yako ya hapa JF kwa kifupi, yaani ulifahamuje kuhusu JF, ulijiunga lini na ni nini kilikusukuma hadi ukajiunga na JF?

3. Je Ni kitu gani kilikusukuma hadi ukaingia katika mashindano ya Miss Chit Chat ya Novemba?

4. Je ni nini siri ya ushindi wako?

5. Unazungumzia nini kuhusu rufaa iliyokatwa na C6 akipinga ushindi wako?

6. Una ushauri gani kuhusu Miss Chit Chat?

7. Je ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na kupika pika utotoni?

8. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, Je unaye wa mpenzi wa kuchombeza, na kama huna unamalizaje matamanio yako ya kujamiiana?

9. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?

10. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana?

11. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?

12. Je unapenda chakula cha aina gani?

13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

14. Je ukipata fursa ya kupata staftahi na Mungi, ni jambo gani ungependa kuzungumza naye?

15. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….?

Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Ciello atakuja kuyajibu maswali yenu.

Karibuni sana

Wiki ijayo Jumamosi ya tarehe 10/11/2012 Zinduna Talk Show, mjengoni atakuwepo Aunt BADILI TABIA
Stay tune.

Last edited by a moderator:
Zinduna umeshamaliza maswali karibu yote ya msingi, ngoja tumsubiri ajibu kwanza hayo ndiyo tumswalike kutokana na majibu yake.

Mwisho nampongeza sana Ciello kwa ushindi mnono dhidi ya mpinzani wake wa karibu arabella ambeye kwa kweli angezubaa kidogo alikuwa anania ya kulinyakuwa kombe la miiss chit chat November-2012.

Labda na mimi nitupie ka swali kanokofanana na uliouliza Zinduna nini siri ya ushindi kwa upande mwingine.

Je anahisi ushindi wake unatokana na umaarufu mkubwa alionao hapa jukwaani au kupigiwa kampeni kubwa hasa na babu Asprin????? Ikiwa ni hivyo nini maoni yake kwa wadau watakogombea siku zijazo ili nao waibuke washindi?????

Wabejasana mwanawane Zinduna.
 
Last edited by a moderator:
We ni kiboko, ina maana hilo tu ndo unalotaka kujua?

tehe tehe tehe, katika maswali ya kichokozi hili ni moja wapo ambalo kwa kweli limevuta hisia za wengi.

wapi mama Ciello uje ujibu swali lako????
 
Last edited by a moderator:
Zinduna umeshamaliza maswali karibu yote ya msingi, ngoja tumsubiri ajibu kwanza hayo ndiyo tumswalike kutokana na majibi yake.

Mwisho nampongeza sana Ciello kwa ushindi mnono dhidi ya mpinzani wake wa karibu arabella ambeye kwa kweli angezubaa kidogo alikuwa anania ya kulinyakuwa kombe la miiss chit chat November-2012.

Labda na mimi nitupie ka swali kanokofanana na uliouliza Zinduna nini siri ya ushindi kwa upande mwingine.

Je anahiso ushindi wake unatokana na umaarufu mkubwa alionao hapa jukwaani au kupigiwa kampeni kubwa hasa na babu Asprin????? Ikiwa ni hivyo nini maoni yake kwa wadau watakogombea siku zijazo ili nao waibuke washindi?????

Wabejasana mwanawane Zinduna.

Ahsante sana Mzee wa Rula, naheshimu sana uwepo wako katika interview hii. Ciello, bado yuko chumba cha mapumziko akijiweka vizuri kwa ajili ya kuingia hapa ukumbini.
Labda kwa haraka haraka niwatajie waliofanikisha interview hii, kwa upande wa mavazi yaani aliyenipendezesha mimi na Ciello ni cacico, yeye analo duka lake maeneo ya Mbagala Charambe, kwa upande wa nywele ni Aunt snowhite, yeye anayo saloon yake pande za Kipalang'anda, vipodozi ni gfsonwin na kwa upande wa fundi mitambo yupo Young Master akisaidiana na Mentor, na anayefanikisha kurusha matangazo haya ni Bujibuji.
 
Last edited by a moderator:
Ciello kuna tuhuma ulitoa rushwa ya ngono kwa wapiga kura wako baadhi,sasa kwa wengne tulio kupa kula bila kupewa chochote utatusahidia sahidia je? Tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Kwako Ciello
Je wewe huvaa chupi? Na kama una vaa unavaa saizi ngapi na hupendelea rangi gani?
 
Zinduna Mbona sasa umemaliza maswali yote muhimu?
Nicas Mtei uwanja wa maswali ni mpana sana, kwa mfano, kuna maswali kama, alijisikiaje kwa mara ya kwanza alipoanza kujamiiana? Je alishawahi kuchoropoa mimba? Je anapenda staili gani kwenye uwanja wa 6x6 nk.

Haya mkuu nimekupa pa kuanzia
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei uwanja wa maswali ni mpana sana, kwa mfano, kuna maswali kama, alijisikiaje kwa mara ya kwanza alipoanza kujamiiana? Je alishawahi kuchoropoa mimba? Je anapenda staili gani kwenye uwanja wa 6x6 nk.

Haya mkuu nimekupa pa kuanzia

Zinduna hufai kwa mahojiano maana unakaba mpaka penalti!!! Ngoja nimualike shoti wangu Preta naje aje atupie maswali hapa.
 
Last edited by a moderator:
Ciello,amka basi na wewee,talkshow gani mgeni anapambwa mwaka......kamati ya maandalizi ilikurupuka,lisaa na nusu nang'aa macho tu,,,,nirudishieni kiingilio changu.
 
Last edited by a moderator:
Asante cherry zinduna kwa kunikaribisha kwenye talk show yako.Jibu la swali no.1:nimezaliwa kipindi cha serikali ya awamu ya pili.
avatar101528_1.gif

Ciello

Samahani sana wapenzi wa JF chit chat, kwa ukimya wa muda mrefu. Leo mjengoni nipo na Ciello, mshindi wetu wa Miss Chit Chat wa mwezi Novemba 2012 ,ambaye kutokana na ushindi wake huo mnono nitafanya naye
Exclusive Interview ili kujua siri ya ushindi wake huo.
Ciello ameshinda kwa ushindi wa kishindo alioupata baada ya mchuano mkali ambapo alishinda kwa kura nyingi sana zipatazo 51 dhidi ya charminglady aliyepata kura 07, lara 1 aliyepata kura kura 13 na Arabela aliyepata kura 16.

Niko hapa na Kidadavuzi Mpakato changu (Lap Top) na nitapokea maswali yenu na maoni yenu kwa njia ya simu, ujumbe wa simu ya kiganjani, barua pepe (Email) na tarakishi (Fax). Line za ku-post Comments ziko wazi, Mwana JF yeyote anaweza kutumia fursa hii kumuuliza Ciello swali lolote na yeye bila shaka atayajibu maswali yenu kwa kadiri atakavyopata muda.

Kwa kuanza ninayo maswali kumi na tano ambayo ningependa kumuuliza Ciello:

1. Je umezaliwa msimu gani?

2. Hebu nipe historia yako ya hapa JF kwa kifupi, yaani ulifahamuje kuhusu JF, ulijiunga lini na ni nini kilikusukuma hadi ukajiunga na JF?

3. Je Ni kitu gani kilikusukuma hadi ukaingia katika mashindano ya Miss Chit Chat ya Novemba?

4. Je ni nini siri ya ushindi wako?

5. Unazungumzia nini kuhusu rufaa iliyokatwa na C6 akipinga ushindi wako?

6. Una ushauri gani kuhusu Miss Chit Chat?

7. Je ulishawahi kucheza mchezo wa baba na mama na kupika pika utotoni?

8. Je umeolewa? Kama umeolewa, Je una watoto wangapi, na kama hujaolewa, Je unaye wa mpenzi wa kuchombeza, na kama huna unamalizaje matamanio yako ya kujamiiana?

9. Je ni tukio gani liliwahi kukuhuzunisha sana?

10. Je ni tukio gani liliwahi kukufurahisha sana?

11. Je unapenda kuvaa nguo za aina gani?

12. Je unapenda chakula cha aina gani?

13. Je ni jambo gani umewahi kulifanya kwa faida ya nchi yako na ambalo hata ukifa litabaki kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo?

14. Je ukipata fursa ya kupata staftahi na Mungi, ni jambo gani ungependa kuzungumza naye?

15. Una ushauri gani kuhusu hiki kipindi cha Zinduna Talk Show…….?

Haya nakaribisha maswali yenu wadau na hivi punde Ciello atakuja kuyajibu maswali yenu.

Karibuni sana
 
No.2:JF nimeifahamu mwaka 2008 wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka kwanza chuoni.Nimekuwa guest kwa kipindi kirefu.Mwezi september mwaka huu ndipo nilipoamua kuwa mwanachama rasmi wa JF.
 
Kwanza nimpongeze Ciello kwa kutwaa umalkia wa chit chat kwa mwezi wa November.
Kura yangu imechangia kufanikisha ushindi huu mnono.

Nina kaswali kadogo tu kwako malkia Ciello, nani ni role model wako kimaisha(katika real life) na kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Swali lanyongeza Mheshimiwa thpika ,nasikia rumaz eti ciello ana mahusiano ya karibu na mheshimiwa zungu na jana wameonekana wakiwa pamoja maeneo ya takakuru upanga? Kama ni kweli who taught who what?
 
Back
Top Bottom