Wadada wakishaolewa wanageuka kuwa na gubu na roho mbaya kiasi cha kuifanya nyumba kukosa amani.....ndio maana watu wanakimbilia kando kwenda kukonga nyoyo.....
Hapa kina mama wanaonewa nitatetea, mushkeli upo upande wa kuume.Ila kupitia hii post nimeona lawama nyingi zinaelekezwa kwa akina mama sijui kwanini
Huu ndio upendo mke anatakiwa kula vitu vya afya kama hivo ,hii michepuko ile minyama inenepeane ife kwa magonjwa afu unatafuta mwingine ,mamaa anabaki supa kwa kula mikundekunde!
Kwa namna ninavyoishi kwenye ndoa yangu hata mi nawezq fanya hivyo
mjukuum ishu za mahusiano mapenzi na ndoa zinamalizwa na nyie wawili tuu...! Sio kutoka nje ya hapo, kwakuwa mnapofunga mlango wa chumbani mnabaki nyie wawili tuu, wa tatu ni Mungu wenu na wa nne ni shetani ambao hawa ni INVISIBLESNicheki bac mkuu maana dah nahitaji sn ushauri maana hata cna ham na hii ndoa yangu
sio wadada tu hata waume pia. Kuchepuka sio suruhisho la matatizo! "epuka ukimwi"
Unactahiri heshima na cfa asante sana mkuu pamoja daima