Shaka-Zulu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 432
- 831
Mkuu nyama ya nguruwe umeruhusiwa endapo tu njaa yako inaweza kupelekea kupata kifo (Hapa dini imethamini uhai ndio maana ikaruhusu kula haramu ili usife kwa sababu ya njaa).
Hapo unapotaka kuhalalisha mutaa kwa mazingira hayo hayo ya ruhusa ya dharura ya kula kiti moto, je ushawahi kusikia mtu amekufa kwa sababu tu nyege zimembana?
Maendeleo hayana chama
Basi jifunze kusoma,ikiwa umeweza kuufungua uzi mwenyewe
Kisha
usisome!!!
itakuwa ajabu Chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo post ndo ina nukuu niliyokuambia?!Soma post #137
Duh!! Hii post sio wewe hii?!Hakuna mahali nimeandika ulichonituhumu kukiandika. Nenda kasome ile post #137 urudi kunielimisha.
Baada ya hiyo post, nikakuambia weka Aya mzima kutoka 4:24 yenye hiyo nukuu!!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Duh!! Hii post sio wewe hii?!
Baada ya hiyo post, nikakuambia weka Aya mzima kutoka 4:24 yenye hiyo nukuu!!
Hiyo post #137 unayong'ang'ania nikaisome ndo ina nukuu ya hicho nilichokuuliza?!
Usiniwekee Article ambayo inaweza kuwa imeandikwa na watu aina yako! Nimekuambia uniwekee FULL VERSE ya 4:24 yenye maneno haya:Strange kuwa mpaka sasa hujaiona article inayofafanua hiyo aya 4:23!
Ugumu upo wapi?! Au uliamua tu kuandika uongo kwa makusudi na tena hata bila kuona aibu!! Halafu unajiita Mkristo wewe?! Mkristo gani unadanganya kwenye halaiki na kuyapuuza mafundisho ya Kristo?!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Nimekuambia WEKA FULL 4:24 VERSE yenye haya maneno yako:110%. Check link iliyopo chini kabisa (na nilinukuu mahali post ya culture gal yenye hayo maelezo ambayo mwenzako alielewa na akatoa maelezo mengine).
Aidha nikakuambia weka na aya zingine angalau 2 kwa sababu that's how Quran is read!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Usiniwekee Article ambayo inaweza kuwa imeandikwa na watu aina yako! Nimekuambia uniwekee FULL VERSE ya 4:24 yenye maneno haya: Ugumu upo wapi?! Au uliamua tu kuandika uongo kwa makusudi na tena hata bila kuona aibu!! Halafu unajiita Mkristo wewe?! Mkristo gani unadanganya kwenye halaiki na kuyapuuza mafundisho ya Kristo?!
Kuna maelezo ya kutosha (tena kutoka kwa mtu aliesoma islamic theology na nimeitoa kwenye website ya Islam apologists). Inajibu maswali kutoka kwa Waislamu na hayajibiwi na Wakatoliki bali Islamic theologians.
Hivi unaelewa Kiswahili wewe?! Hii post hapa chini kaiandika nani?Kuna maelezo ya kutosha (tena kutoka kwa mtu aliesoma islamic theology na nimeitoa kwenye website ya Islam apologists). Inajibu maswali kutoka kwa Waislamu na hayajibiwi na Wakatoliki bali Islamic theologians.
Tuanzie hapo kwanzaHii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Manshaa AllahMahari katika dini anapewa muolewaji ,wazazi wanakuwa Kama mashahidi . na mahari ni kitu chochote hata nikisema nataka doti ya khanga ndio mahari yangu imepita.
Kwanza kabisa nakiri kwamba mimi siyo Ustaadhi na elimu ya dini ya kiislam pia haijafika kiwango cha kutoa hoja. Lakini ninavyona mimi kwenye Uislamu kuna vitu vimeharamishwa, lakini kwa sababu Mungu hakuwatikia magumu waumini, kuna mazingira fulani, yale yaliyoharamishwa yakawa halali. Mfano wazi ni nyama ya nguruwe - imeharamishwa moja kwa moja, lakini ukiwa hatarini kwa kufa na njaa, basi unaweza kula kuokoa maisha. Mutaa ni hivyo hivyo - ni haramu lakini mazingira yakiwa ngumu kama vita nk unaruhusiwa.
Uislamu ni dini inayotambua uhalisia ya maisha na imelegeza vikwazo kwenye mazingira magumu ili maisha yaendelee!
Chief
Mfiakweli
Elimu haichukuliwi kwa kujisomesha mwenyewe,ni lazima usomeshwe na Msomi
Pili
Katika Uislam,kuna misingi mingi,mmoja wa misingi mama,ni
Kuchukua elimu kwa mtu alieaminika na sifa ya ukweli,
Elimu haichukuliwi kwa mtu muongo
Elimu haichukuliwi kwa mtu mzushi
Elimu haichukuliwi kwa mtu mjinga
Sasa Bro
Hao unachokuwa au unaowasema kuwa wamesomea Islamic Theology,ni watu wenye kuaminika mbele ya Sheria yetu?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kilegezo cha matamanio ya kingono tulichofundishwa na mtume (s.a.w) ni kufunga swaumu za sunnah kwa sababu njaa hua ina kawaida ya kuvunja vunja matamanio ya ki mwili.Mkuu, mbona kwenye kila amri kuna vilegezo! Saumu ya Ramadhani ni lazima, lakini ukiwa mgonjwa au umesafiri au una dharura fulani, basi unaweza kuziacha na kuzirudia baadaye au unalipia kafara! Wudhu kabla ya Saala ni lazima, lakini maji yakikosekana, unafanya 'tayamum'. Hakika Allah SWT amesema mwenyewe kwamba sijawatakieni ugumu bali nimewatakieni uwepesi, na hii aya inahusu haswa suala ya kujamiana kipindi cha saumu!
Narudia, Uislamu unazingatia sana uhalisia ya maisha, na imelegeza masharti ili maisha ya songe mbele!
Lakini kwenye suala la Mutaa, sijui mazingira yapi ya siku hizi yanaweza kuhalalisha hii ndoa ya muda??? Sijui, kama ni haramu moja kwa moja? Ukweli ni kwamba sijawahi kusikia hata tukio mmoja ya ndoa ya namna hii!
Hivi unaelewa Kiswahili wewe?! Hii post hapa chini kaiandika nani?
Tuanzie hapo kwanza