masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Wewe unakula nguruwe kwa amri gani ikiwa Mungu alimkataza Musa ?Halija pita hadi Leo alio waagiza hawali wala kugusa mzoga wakeView attachment 1001209View attachment 1001211 ila kuna kiumbe alimbishia Mungu na karuhusu nyama ya nguruwe iliwe mpaka mzoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo habari ya mkono wa kuume siielewi, pengine ni tafsida imetumika hapo ila sababu sijaiongea mimi bas siwezi kuijibiaNdipo nikauliza wake zako ruksa kuwaingiliajee hawa UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKOmbona hamnijibu walimu
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Aya umeweka wewe niimalizie mimi? Tuwekee hapa mwanzo wake mpaka mwisho wake ndio tuiajadili kwa haki, usi edit chochote.malizia ayat ukishindwa kuoa mmoja basi fanya basi uwaingilie wale UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME={vibubu)
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Allah ameiangamiza sodoma halafu tena leo awe ameruhusu jambo alilowaangamiza watu !! acha kupaniki kijana
Kwa akili za kisilamu umepatiaHapo anamaanisha mafundisho anayoyatoa ni ujumbe tosha kuwa yeye ametoka kwa Mungu , wewe unaleta ujanja ujanja
MARKO 10:18
"; Yesu akamwambia, kwa nini kuniita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja ,ndiye Mungu";
sasa kama Yesu anasema yeye sio mwema , na anakiri kuwa Mungu pekee ndio mwema hauoni aibu kuokoteza
Malaika naye ana Mamlaka yakeNimejiuliza na nimesoma kuwa hakuna mahali popote Mungu alimkemea Ibrahim kuzaa na mjakazi, tena kuonyesha mapenzi na mtoto yule jina likatoka kwa malaika wa bwana , hoja yako ni DHAIFU sana
Kwa hiyo unapo zini umepewa na MunguMungu kampa mwenyewe hao wanawake , halafu mimi niweke aya zinaa !! mimi sio mshenga Mungu kampa mja wake selemani afaidi mazuri ya dunia , zinaa umesema wewe usiejua maandiko
Mimi sina tatizo ilaha unashindwa kunielewaWanasema wenyewe maji utaita mma
Kumbe unajua Ninacho pendaHiyo aya mbona iko sawa, sasa kama picha zinafungua watu si ni kweli kuna picha kibao za Yesu akiwa kavaa kikaptula au vinguo vya watoto, nyingine kavaa sijui ni taulo pale msalabani, hizi picha ajachora muislamu hivyo , kwa vile mmechora wenyewe maana yake mnazipenda, mimi nimekukumbusha unachopenda kuona na kuchora
ahaa kwa hiyo muhindi kupigwa mjengo na mluguru bila kumuoa ruksa sababu ni muhindi...hebu masudi fundisha kama mjuziKama alivyoamua kukufanya wewe mrugulu , na sio muhindi, ata hapo aliamua mateka wa kivita ndio iwe halali tu
Wapotoshaji !Nguruwe mbona ruksaView attachment 1000946View attachment 1000949 ukiniwekea katazo Mimi mgen nisile NYAMA ya nguruwe Mimi nitaretardi na kuwa mchawi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Halal !Nguruwe mbona ruksaView attachment 1000946View attachment 1000949 ukiniwekea katazo Mimi mgen nisile NYAMA ya nguruwe Mimi nitaretardi na kuwa mchawi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ati mungu huyu !Nguruwe mbona ruksaView attachment 1000946View attachment 1000949 ukiniwekea katazo Mimi mgen nisile NYAMA ya nguruwe Mimi nitaretardi na kuwa mchawi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kivuruge imeingia kuvuruga, ila umechelewa somo limeeleweka kitambo.
Kama somo limeeleweka unajisikiaje kuleta ya mwana kuletaKivuruge imeingia kuvuruga, ila umechelewa somo limeeleweka kitambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! We jamaa unachekesha kweli! Hivi nilivyokuambia tafsiri wewe umeelewaje?!
Hivi wewe unaposoma Bible unatumia Kihebrania au tafsiri?! Anyway, aya yenyewe ni hii hapa:
وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُمْ مَا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَنْ تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُمْ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُمْ بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُمْ بِهِ مِنْ بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا
Haya, zamu yako sasa...