Zinaa katika uislamu....

Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.

Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.

Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.

Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo

katika kujibu kwako nimeona una hekima Fulani na utulivu pia kujiamini.....nimeupenda huu Uzi sababu yako ndugu.......barikiwa zaidi
 
Allah ndio alimiambia kuwa 945=845? ahahahaahhhahhaha uongo wa waandishi wenu na janja janja yao unamsingizia Allah ahahahaah
Allah Ameelewa maudhui ya hilo Andiko hadi akamtuma Muhammad Awasomee..bado HUJA Muamini allah?¿??
IMG_20190126_203015_735.jpeg
IMG_20181103_174916_728.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allah Ameelewa maudhui ya hilo Andiko hadi akamtuma Muhammad Awasomee..bado HUJA Muamini allah?¿??View attachment 1014221View attachment 1014223

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna tatizo na kuamini sisi tunaamini taurati, zaburi na Injili, wala hakuna tabu , wewe umedai waandishi wa biblia wameongozwa na roho mtakatifu sasa unapotakiwa kuthibitisha yupi asa kweli alitaja idadi kamili ile aliyoiona roho mtakatifu yaani 945 au 845 unaanza kuangaika na vitu ambavyo hakuna aliekuuliza ahahaha ahahahhahahhahah
 
Mifano yoote niliyo kupa, mafundisho yoote Aliyo kufundisha allah; kwamba hapo hapo wote wako SAHIHI Hakuna aliye kosea! Ilaha Andiko limekuua, Ungejaliwa Ilimu ya ROHO ungehuika! Tatizo ni Ilimu yako ya kukariri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisha Bro Mgen

Kuwa mstaarabu,Katika Dini yako uliyonayo,sidhani kama kuna sehemu unaruhusiwa hata kukebehi au kudhihaki!!!
Kuwa mzuri wa maneno.
Jenga hoja,kisha uliza

Ni ushauri wangu kwako tu Chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka mada

Kisha tuanze mjadala kwa Elimu na Busara

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada imesha wekwa! Mjadala unaenda vizuri tu! Sasa mjadala gani wa elimu UNAO utaka wewe? Mimi ktk kulingania Imani yangu Kigezo changu na mwalimu wangu ni Yesu! wewe sijui Kigezo na mwalimu wako nani! Kuna mlingano hapo? Heri ungekuja na sura ya makafir! Halafu ukanyuti...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mifano yoote niliyo kupa, mafundisho yoote Aliyo kufundisha allah; kwamba hapo hapo wote wako SAHIHI Hakuna aliye kosea! Ilaha Andiko limekuua, Ungejaliwa Ilimu ya ROHO ungehuika! Tatizo ni Ilimu yako ya kukariri!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujatoa mfano wowote wala elimu yeyote ,zaidi ya kuruka ruka kama maharage, ebu tuambie 945 toka lini ikawa sawa na 845? tupime hiyo elimu yako mpya
 
Bado mnaparuana tu, ombeni mhadhara mparuane muishie Lupango

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Haja ya kuparurana
Sisi tunawasubiri watu wa upande wa kushoto,wathibitishe yale wanayoyasema au kuyasimamia kidete!!!

Kinyume na hivyo
Watakuwa wametosheka na kuridhika na majibu yetu,sema tu wana ona aibu kuthibitisha kuwa wamekosea hapo mwanzo,na sasa wame elewa usahihi na wamekubali kuwa WAISLAM

Tunawakaribisha katika Dini ya sawa
Dini,inayofundisha Imani ya kumuabudu Mola mmoja tu asie na mshirika
Halali wala hapatwi na usingizi
Hali Chakula wala hahitaji maji wala kinywaji
Haendi chooni,wala hashikwi na njaa

KARIBUNI KATIKA UISLAM
Mkuu Mfia ukweli
Mkuu Mgen
Mkuu Mbogo
Na kila alie mkristo katika Jamii Forum,Karibuni katika Dini ya sawa
Karibu katika amani ya kweli
Karibuni katika Uislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika kujibu kwako nimeona una hekima Fulani na utulivu pia kujiamini.....nimeupenda huu Uzi sababu yako ndugu.......barikiwa zaidi
Tubarikiwe sote kaka,ila sasa uzi umeingiliwa tumeshakaa pembeni mans hakuna liwako Mkuu.

Kugombana na malumbano ni kutaka tuu.
 
Back
Top Bottom