Zinaa inaua nyota mara 2

Wala msiikaribie zinaa; hakika hiyo ni uchafu na ni njia mbaya.
 
Tofauti ipo, binadamu ameumbwa na utashi, mnyama hana utashi.(concise)
 

Aya yangu ya mwisho nimesema hivi:
"Bahati ya kweli inapatikana kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi pekee."

Maana ya aya hiyo kuna bahati ya kutengeneza nayo ipo. Kwa hiyo mtu mbaya anaweza kufanikiwa pia inategemeana na aina ya bahati aliyonayo. Lakini bahati inayotoka kwa Mungu ni kwa kufuata sheria za maisha tu.

Mwanzoni nimesema dhambi ni kukosa shabaha au lengo ambalo Mungu amepanga ufanye katika maisha yako ili uweze kufikia malengo fulani. Mungu anataka ufuate sheria za maisha kwenye kila hatua ya maisha yako.

Dhambi sio kudhini tu, na zile dhambi zingine. Unapokosea kufanya jambo lolote katika viwango vinavyo takiwa unatenda dhambi pia.

Maana yangu nini ukiona umepoteza kitu kuna sheria ya maisha hujaifuata ndio maana kimepotea. Ndio maana mtu hujirekebisha ili asipoteze tena. Kwa aliye kiokota nayeye lazima afuate sheria, dhamiri yake itamtaka akirudishe kama kuna sheria inayo jionyesha kwamba kuna uwezekano wa kukirudisha. Na kama akikiuka nayeye kuna siku atapoteza (karma).

Hivyo ndivyo dunia inavyo enda.

Akili inatokana na kujifunza maarifa mbalimbali pamoja na kuitumia mara kwa mara kuwaza (critical thinking). Mfanya biashara anawaza kila siku kupata mawazo mapya yatakayo boresha biashara yake.
 
Vipi kuhusu Diamond maana amewabagaza balaa na bado anapeta
Diamond ni Tajiri na ili uwe Tajiri lazima uwe vizuri kiroho na ngono nayo ipo kiroho kwahiyo unaweza kuvuna nishati kupitia ngono we kama unafanya ngono kwa starehe shauri yako
 
Aisee ogopa sana pale unapotaka kuzini na mwanamke moyo unakataa au hata ukizini nafsi inakusuta hapo tayari full stop kwishaaaaaa
 
Bado hujatoa majibu thabiti. Kwa kuwa ni unavyoelewa sio mbaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…