Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,053
Hiyo elfu20 mi ndio budget yangu. Mtaani kwetu guest elfu7 hadi 8 ikizidi sana 10 (self). Sijawahi kumpa demu zaidi ya elfu10(pia itategemea na show aliyoitoa), akizingua hata buku5 anakula na buku1 ya nauli. Demu akiagiza msosi anakula posho yake mwenyewe . Demu mi huwa nakutana nae guest direct na muda wangu ni kuanzia saa 11 jion. Hiyo pesa nahakikisha inatoka kwenye dili tu za nje ya mshahara. Tena isiwe imepatikana hiyo elfu20 tu.
Mkosi na laana huvikosiVipi kama demu yeye ndiyo anamaliza kila kitu,kazi yangu nikutoa gegedo pekee.
Mimi huniongezea mbinu nyingi na kushugulisha ubongo wangu kupambana, ni kama hiviZinaa huleta uufukara
Nimeamini.....
Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=
Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.
Jamani.
TUACHE ZINAA.
Mkuu wanakuwaga masikini wa kutupwa,na vile hana hela tu hakuna mtu asiyependa rahaNadhani wewe ni tajiri sana sasa hivi baada ya kuacha zinaa.
tofautisha uzinifu na tendo la ndoa...Afu bado ntu anajitia kuoa mke wa pili
Mtakufa maskini😂😂😅
Mwendo wakuwatombya ndani ya gari.
Baada ya hapo unampa lift karibia na kwake..Kisha unamtoa ka 5k au 10k akasafishe Papuchi lake....
NOTE:ZINAA NI DHAMBI NA HUTIA UMASIKINI NA MARADHI PIA.........
Kwa gemu la ridhaa haiwezekani, labda iwe ni rushwa ya ngono kwa ajili ya kuzima kesi au kufukuzia ajira, hapo mademu hawanaga ujanja. Humaliza wao kila kitu.Vipi kama demu yeye ndiyo anamaliza kila kitu,kazi yangu nikutoa gegedo pekee.
Nililike nilivyona id niya (ke) nime undo like 😀Mi nilisha acha
Zinaa huleta uufukara
Nimeamini.....
Hili suala tunalichukulia powa lakini ndugu zanguni swala la zinaa ni janga kubwa Sana linalochangia kuleta umaskini Sana.
Hebu mfano tu.
nauli ya demu 5,000/= au zaidi.
Gesti 20,000/" au zaidi
Kondom pakti mbili 2,000/=
Posho ya demu 20,000/=
Vyakula na vinywaji kidogo 20,000/=
Jumla hapo ni elfu 67,000/=.... Sasa Kwa gharama hizo piga mara mademu 20 au nakuendelea.
Jamani.
TUACHE ZINAA.
Ndugu upo dunia gani mkuu? Siku hizi Mambo ni vice versaNililike nilivyona id niya (ke) nime undo like 😀
Nadhani hiyo mada inawahusu (me) sababu watunzwao ni jinsia ke
Mkuu we usiegegeda sasa hivi utakua unamilki billion of dollars na Bentley za kutosha mkuu