Usiku wa kuamkia leo mji wa Goma ulizizima baada ya watu wasiofahamisha kumwaga njugu za kufa mtu mjini kwa silaha nzito nzito... kibaya tu ni kwamba vyombo vya habari vya kimataifa kimyaaaaaa wakati watu wamepoteza maisha.... sijui leo itakuwaje tuombeeni dua tu. ndo maana kwa hakika huwa namuomba Mola wetu aendelee kuilinda nchi yetu Tanzania... Mrusi ana sauti mbaya aisee!!!!!
Poleni wandugu; msumeno tunawaombea usalama, utulivu na Amani kwenu.... ukiona kinazidi bora uswanzuke mapema!!
Leo nafanya evaluation nikiona maji yanazidi unga sintosubiri organisation iniamulie maisha yangu... at the end haya ni maisha yangu...vyuma tuvione wamevibeba tu ila kuvisikia vikifanya kazi inatisha.... nilitamani niingie kwenye uvungu wa kitanda haikuwezekana... wacha bwana bora umasikini kuliko kukosa amani
Sasa kilichoibua ngoma hiyo kwani bado kujulikana...au ndiyo mchezo wa kila siku "mchana wetu-usiku wao" ??Leo nafanya evaluation nikiona maji yanazidi unga sintosubiri organisation iniamulie maisha yangu... at the end haya ni maisha yangu...vyuma tuvione wamevibeba tu ila kuvisikia vikifanya kazi inatisha.... nilitamani niingie kwenye uvungu wa kitanda haikuwezekana... wacha bwana bora umasikini kuliko kukosa amani
Sasa kilichoibua ngoma hiyo kwani bado kujulikana...au ndiyo mchezo wa kila siku "mchana wetu-usiku wao" ??
Wewe sauti unayoijua ni ya pancha za baiskeli ulishawahi msikia mrusi wewe!!huu ni mwaka wa tatu niko field ujue lakini nasema ukweli yakinisinda natimua TZ sijaiba
Mkuuu poleee sanaaa
Asaaa field gani hiyoo ya miakaa mitatuu.???