Hebu vuta picha hili tukio lingekua ccm cdm ndo wengejua ni muda muafaka kwa wao kuchukua point tatu muhimu maana mara nying sana wameonekana kukinyooshe vidole chama tawala hususani kinapochelewa kutoa maamuzi mazito kama yale ambayo wao wangepaswa kuyafikia kwa muda mfupi kama ilivyokusudiwa mwanzoni mwa tukio hili waacheni wasuesue hawajui ndo wanapoteza point zao