THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,781
- 15,139
uliambiwa baada ya siku 14; sasa je, wakiadhibiwa hata katikati ya mwaka ujao itakuwa ni kabla au baada ya hizo siku?
... ficha umbulula wako!
uliambiwa baada ya siku 14; sasa je, wakiadhibiwa hata katikati ya mwaka ujao itakuwa ni kabla au baada ya hizo siku?
... ficha umbulula wako!
Tayari mmeshamaliza msiba wa mwenzenu?Makamanda Mlianza na Gongo na mmemaliza na Gongo!
Acha propaganda zako zakimburura, CHAGADEMA walisema NDANI ya siku 14.
Huwa haziishi hizo
wewe ni mkurupukaji tena sana rejea kauli ya chadema walipewa siku kumi na nne kujieleza na walifanya hivyo na wala hawakusema watawafukuza nadani ya siku kumi na nne kuwa muelewa wewe mburura rejea ripot ilisemma nini usiwe mkurupukaji kama huna akili timamu wewe zuzu.
Kaka acha kutoka povu,wananchi wanataka kujua hatma ya wasaliti....hv cdm wakichukua dola watu wataweza kuhoji kweli?manake wakali sana
kama mlianza kwa kelele iweje mmalize kimya kimya?
"Kuanguka aanguke nyani mtini useme bahati mbaya, akianguka Komba mnazini basi kalewa pombe ya mgema". Sasa nimeamini "kunya anye kuku, akinya bata kaharisha". JITAMBUE WEWE MFUASI WA MZEE WA TENGERU.
Kusoma darasani pekee sio kuelimika Gamba mkubwa wewe!
Pof Kapuya mkubwa wewe!!
Wlipewa siku 14 za kujieleza, si siku 14 za kuwafukuza. Umetumwa au unakurupuka tu!wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
"Kuanguka aanguke nyani mtini useme bahati mbaya, akianguka Komba mnazini basi kalewa pombe ya mgema". Sasa nimeamini "kunya anye kuku, akinya bata kaharisha". JITAMBUE WEWE MFUASI WA MZEE WA TENGERU.
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
Huwa haziishi hizo
"Kinyesi sio mwiba ila ukikikanyaga lazma uchechemee". Mipovu kibao mdomoni inakukutoka, jibu hoja hizo, kama huwezi ni heri ukakojoe ulale!.
UKIMNYOOSHEA MWENZAKO KIDOLE KIMOJA CHA SHAHADA JUA VINGINE VINAKUANGALIA WEWE. sasa jihoji acha kuwa na akili za kukariri darasani
pokea like mkuu