nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,026
Haaa haaa haaa vyura bwana!!Threads za Genta zinazidi kua za hovyo progressively
Haaa haaa haaa vyura bwana!!Threads za Genta zinazidi kua za hovyo progressively
Kwa lile Tumbo lake Kubwa kama ' SIMTANK ' ulitegemea jipya gani kutoka Kwake Mkuu?
View attachment 1247225
Yule msemaji wenu "mzungu" angekuwa wa upande wa pili mngekuwa mnashinda mnamtukana humu mitandaoni kila siku.
.....................Mbumbumbu Mnajisahaulisha mlitia aibu kwa kubebeshwa mzigo wa mabao 14 kwenye mechi 3.
Ila sikuwahi hata Siku moja Kufungwa kwa ' Kubikiriwa ' Nyumbani hapa Tanzania na Mwarabu hata Siku moja kama alivyokufanya Wewe jana Kirumba. Yaani mmeroga kwa Siku 10 halafu mmefungwa zile Goli 2 hivi nawaza kama msingeroga hadi kutaka kuwatoa ' Makafara ' Mashabiki wenu kwa Ajali waliokuwa wakielekea Mwanza si mngefungwa hata Goli 20 jana? Sasa Kazi mnayo Kwao Kudadadeki zenu!
Nugaz shababi kwao wana asili ya kishombe ..kama unataka dushe semaWewe Mwanaume mzima kama Yule Kutwa ' Kujiremba ' na ' Kujichubua ' hovyo kama Mtoto wa Kike huku akiongea kwa kubana Sauti ulitegemea kutakuwa na jipya Mkuu? Na usishangae kuwa bado kuna wana Yanga SC ' Mapopoma ' wengi tu watamuamini katika hili.
Tunachojua Watu wa mpira ni kwamba jana Mtu Kafia rasmi Tanzania na anaenda sasa kupata Maziko yake ya Kiheshima huko nchini Misri mwishoni mwa Wiki hii. R.I.P Yanga SC.
Mnafikiri mtanunua tena msimu huu...GSM chapa imaraVyura washatolewa tyr
Kilichobaki sasa hivi wasubiri kupigwa phumbu na simba ili waanze kuchapana makonde wenyewe kwa wenyewe,
Nugaz shababi kwao wana asili ya kishombe ..kama unataka dushe sema
Hakuna cha ID upuuzi wako kuhusu Yanga tumechoka naongea na marafiki zangu wa Russia 🇷🇺 tutakujua soonSawa Nugaz nimekuelewa na asante kwa kututambulishia ID yako hapa.
Hakuna cha ID upuuzi wako kuhusu Yanga tumechoka naongea na marafiki zangu wa Russia 🇷🇺 tutakujua soon
Mnafikiri mtanunua tena msimu huu...GSM chapa imara