Zimebaki siku chache tu Taifa la Tanzania liingizwe katika aibu kali ya kufungia huu mwaka wa 2019 huko Misri

Kwa lile Tumbo lake Kubwa kama ' SIMTANK ' ulitegemea jipya gani kutoka Kwake Mkuu?
FB_IMG_1569744352694[1].jpg

Yule msemaji wenu "mzungu" angekuwa wa upande wa pili mngekuwa mnashinda mnamtukana humu mitandaoni kila siku.

.....................Mbumbumbu Mnajisahaulisha mlitia aibu kwa kubebeshwa mzigo wa mabao 14 kwenye mechi 3.
 
View attachment 1247225

Yule msemaji wenu "mzungu" angekuwa wa upande wa pili mngekuwa mnashinda mnamtukana humu mitandaoni kila siku.

.....................Mbumbumbu Mnajisahaulisha mlitia aibu kwa kubebeshwa mzigo wa mabao 14 kwenye mechi 3.

Ila sikuwahi hata Siku moja Kufungwa kwa ' Kubikiriwa ' Nyumbani hapa Tanzania na Mwarabu hata Siku moja kama alivyokufanya Wewe jana Kirumba. Yaani mmeroga kwa Siku 10 halafu mmefungwa zile Goli 2 hivi nawaza kama msingeroga hadi kutaka kuwatoa ' Makafara ' Mashabiki wenu kwa Ajali waliokuwa wakielekea Mwanza si mngefungwa hata Goli 20 jana? Sasa Kazi mnayo Kwao Kudadadeki zenu!
 
Ni tahira pekee ndio anaamini uchawi una nafasi kwenye kuamua matokeo katika mchezo wa soka.

........................Rage hakukosea alipowaita mbumbumbu.
 
Wewe Mwanaume mzima kama Yule Kutwa ' Kujiremba ' na ' Kujichubua ' hovyo kama Mtoto wa Kike huku akiongea kwa kubana Sauti ulitegemea kutakuwa na jipya Mkuu? Na usishangae kuwa bado kuna wana Yanga SC ' Mapopoma ' wengi tu watamuamini katika hili.

Tunachojua Watu wa mpira ni kwamba jana Mtu Kafia rasmi Tanzania na anaenda sasa kupata Maziko yake ya Kiheshima huko nchini Misri mwishoni mwa Wiki hii. R.I.P Yanga SC.
Nugaz shababi kwao wana asili ya kishombe ..kama unataka dushe sema
 
Hakuna cha ID upuuzi wako kuhusu Yanga tumechoka naongea na marafiki zangu wa Russia 🇷🇺 tutakujua soon

Kumbe shida yako Kuu ni Kunijua tu Mkuu? Sasa mbona huko Russia umeenda mbali sana? Ama hakika ninawateseni mno poleni.
 
Back
Top Bottom