GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,034
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.
Kazi ipo!
Kuna mlevi mmoja anaitwa Mwakalebela eti anaropoka wanaenda kupindua meza ya chuma..
Nimemskia Mhamasishaji haha eti wamepata clean sheet hamna mtu pale
Makame + Ali Ali watamsaidia kupindua hiyo mezaKuna mlevi mmoja anaitwa Mwakalebela eti anaropoka wanaenda kupindua meza ya chuma..
Waombeni CAF mechi ya marudiano ipelekwe Kaitaba Bukoba.Nyie mikia hebu acheni noma
kilaza kabisa uyo jamaaNimemskia Mhamasishaji haha eti wamepata clean sheet hamna mtu pale
kwamba wameonewa goal la pili mpira ulitoka. Na walinyimwa penalty ya wazi🤣🤣🤣Papaa zahera anasemaje kwani
Uchuro mtupu uloandika. Yanga si mambumbu kama nyieNa tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.
Kazi ipo!
Hahahahkwamba wameonewa goal la pili mpira ulitoka. Na walinyimwa penalty ya wazi
Tulia wewe Mikia FC............Kalale.Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.
Kazi ipo!
Uchuro mtupu uloandika. Yanga si mambumbu kama nyie