GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,518
- 108,793
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.
Kazi ipo!
Kazi ipo!