Zimebaki siku chache tu Taifa la Tanzania liingizwe katika aibu kali ya kufungia huu mwaka wa 2019 huko Misri

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.

Kazi ipo!
 
Ngasa alikuwepo, moringa alikuwepo,, na yule nani yuleeee
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.

Kazi ipo!
 
Na beki wao tegemezi kisiki kelvin yondan hatokuwepo sijui kitakachotokea. Tuwaombee tu hawa ndugu zetu wa clean sheets.
 
Nimemskia Mhamasishaji haha eti wamepata clean sheet hamna mtu pale

Wewe Mwanaume mzima kama Yule Kutwa ' Kujiremba ' na ' Kujichubua ' hovyo kama Mtoto wa Kike huku akiongea kwa kubana Sauti ulitegemea kutakuwa na jipya Mkuu? Na usishangae kuwa bado kuna wana Yanga SC ' Mapopoma ' wengi tu watamuamini katika hili.

Tunachojua Watu wa mpira ni kwamba jana Mtu Kafia rasmi Tanzania na anaenda sasa kupata Maziko yake ya Kiheshima huko nchini Misri mwishoni mwa Wiki hii. R.I.P Yanga SC.
 
Vyura washatolewa tyr
Kilichobaki sasa hivi wasubiri kupigwa phumbu na simba ili waanze kuchapana makonde wenyewe kwa wenyewe,
 
Mtanzania anaetamani/semea/ombea mabaya ya vinavyofanywa na watu wa nchi yake

huyo ukimkagua/fatilia sana utagundua ni shombeshombe la kisomali+iraq

na kama ni mtanzania halisi basi ni mpiga ramli.
 
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.

Kazi ipo!
Uchuro mtupu uloandika. Yanga si mambumbu kama nyie
 
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko Misri wasikabidhiwe Bendera ya Tanzania kwani kwa ni kama vile ‘ watainajisi ‘ kwa ‘ Kipigo ‘ Kitakatifu na cha ' Kishalubela / Kikatili ' watakachokipata huko.

Kazi ipo!
Tulia wewe Mikia FC............Kalale.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom